Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,413
Sahihi.Leo ingekuwa poa kama tungebaki kuangalia kwa macho tu maana Jumatatu huwa ni siku ngumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi.Leo ingekuwa poa kama tungebaki kuangalia kwa macho tu maana Jumatatu huwa ni siku ngumu.
INPLAY TENA MPWAA MUNGU ATUPE NINIMpwa jana hujapiga mpunga kweli?
DuuuuuINPLAY TENA MPWAA MUNGU ATUPE NINI
Gsb ukikosa timu moja wanakurudishia stake yako ila wana idadi yao ya timu na odds
Najaribu kuwaza haya makampuni ya kubet wangekuwa wanawafikiria "Best losers" ... hata kuwarudishia nusu ya stake ingekuwa poa ... hahahaha
View attachment 576358
WestBrom, Schalke 04 ....
nahisi nihawa nao wao uganda ukiwea stake kuanzia alf kumi +ukipigwa hata kama umekosa zote wanakurudishia ten percent cashGsb ukikosa timu moja wanakurudishia stake yako ila wana idadi yao ya timu na odds
Sent using Jamii Forums mobile app
Gsb ukikosa timu moja wanakurudishia stake yako ila wana idadi yao ya timu na odds
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuweka hela Gsb unafanya vpGsb ukikosa timu moja wanakurudishia stake yako ila wana idadi yao ya timu na odds
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohyeah usiiache naisubiria tenasafi sn ... maana kuna mikeka ya weekend nliitengeneza Ijumaa kwa option ya Over 1.5 na Double Chance 1/2 (ashinde yeyote) ... mmoja ulikuwa na odds 635 (timu 28) na mwingine 508 (timu 25) ... mikeka yote miwili ilikuwa na wachawi wawili. Means nilipatia mechi zaidi ya 22 kwa kila mkeka ... In this case, I was the "Best Loser".
Wakuu, kuna hawa madogo wa Czech Republic (Under 21) wanacheza mchana kuanzia saa 6 ... nataka niwajaribu hv kwa stake ndogo coz siwajui vzr.
Czech U21 League
Slavia Prague U21 v Viktoria Plzen U21
Slavia Prague U21 or Viktoria Plzen U21
1.22
Double Chance
Czech U21 League
Zlin U21 v FKKARVINA U21
FKKARVINA U21 or Draw
1.33
Double Chance
Czech U21 League
Ostrava U21 v Vysocina Jihlava U21
Over 2.5 goals
1.40
Total Goals - Over/Under 2.5
Czech U21 League
Ceske Budejovice U21 v Dukla Prague U21
Over 2.5 goals
1.25
Total Goals - Over/Under 2.5
Czech U21 League
Mlada Boleslav U21 v Pribram U21
Mlada Boleslav U21
1.70
Match Result
Czech U21 League
Sigma Olomouc U21 v Trinec U21
Sigma Olomouc U21 or Trinec U21
1.17
Double Chance
Czech U21 League
Sparta Prague U21 v Slovan Liberec U21
Sparta Prague U21
1.50
Match Result
Czech U21 League
Jablonec U21 v Hradec Kralove U21
Jablonec U21 or Hradec Kralove U21
1.20
Double Chance
=========
Odds: 10.18
Eightfold
Namba ya kampuni ni 400700, référence namba ni 008, ila ni lazima kwanza ufanye process za kudeposit kwenye acc yako ya GsbHivi kuweka hela Gsb unafanya vp
muhuni