jibril
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 594
- 243
Option gani hii mkuu?Liwalo na liwe
Ya kawaida tu Mkuu, accumulator hioOption gani hii mkuu?
Oky, kwamba hizo team zishinde sio?Ya kawaida tu Mkuu, accumulator hio
Npo premier in play nipe dodoso unazoona znaweza kutoa
Ningeiona hyo game lazima ningemuua ars tula!!kuna ars 3 ambazo kat ya hzo 1 tu ndio angalau nyingine zote ni wehuuuBET DRW
Rubin Kazan vs Arsenal Tula
Score: 2 - 1
Min: 74
Goal!!
Rubin Kazan
4odds
Mkuu tufanye kujilipua in play aiseeWeekend hii ngumu kibiashara
Ndo navizia mkuu angalau nirudishe mtajiMkuu tufanye kujilipua in play aisee