stake high

No1/2..tuonane mrejesho
Screenshot_20170710-152340.png
 
Wakubwa msaada wa application inayofanya analysis ya match kiundani kwa siku mbili tatu mbele
 
Plan gn kwa mfano?unayohic wwe ambayo ni mujaraabu

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Hakuna plan consistent ya Kula Kila siku..Ila tunajaribu kupunguza kuliwa na kuongeza Kula.
Mbinu ninazotumia kubet mimi;
1) Nabet live..hii inanipa uhakika flan wa mechi mfano kuna Timu inapewa red card najua ipo weak

2) Nabet magoli..asilimia 95 ya mechi huisha kwa magoli...kwenye live betting huwa kuna option ya lipatikanike goli mechi ikianza..mfano over 0.5

3)Nikiliwa naacha kubet kwa muda..hapa napata recovery flan na kutopanick.n.k
 
*GOTEBORG win*
*Djurgardens win*
*Al masry win*
*Stord btts*
*fk liepaja win*



Win win win
 
*GOTEBORG win*
*Djurgardens win*
*Al masry win*
*Stord btts*
*fk liepaja win*



Win win win
Hapo kwa al masr hapo,naona km kat vle??
Nipo mkuu ... hichi kichapo unaweza kuwa mwendawazimu. Niko na project odds 1.4 -1.6 per day. Kidogo inaniweka mjini.
Stake 100,000/- ... nadunduliza Chief.


Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom