Screenshot_20170611-163411.png
Screenshot_20170611-162040.png
 
Wadau plz nielekezeni nawezaje kuturbo mkeka kwenye meridian ???
Kama mechi tatu zimetiki, na mechi zilizobaki hazijaanza, basi utaona sehemu imeandikwa turbo kwenye mkeka wako, bofya hapo.

NB: idadi mechi ulizopatia zinaweza kuwa zaidi ya tatu.
 
Yah najua mpwa jaana sema nimeingia mdahuu nkasema niulizie dah Lesotho shida
 
premeirbet weken nanyie turbo achen upumbavu mtaacheje kipengele mujarabu hcho, ona sasa ktimu kmebak kimoja af kinakuja kusepa na kilago.
 
Wazee wa keno ya meridian. Ivi amnaga ata ka formula kakujua namba ata moja itakayotoka kwenye kila race? Mimi nimeshaaply formular zote za kimathematician lakini holaa.
Tusaidiane wadau, mwenye formular ya kujua ata namba moja tu itakayotoka atusaidie tafadhali.
 
Mkuu huu mchezo n kama mama mjamzito akienda labour anaongea matusi yote na kudai hatorudia kuwa na mwanaume tena LAKINI akishajifungua bas utamkuta mdogo mdogo anaanza kuulizia tena mambo ya wanaume
hivyo yatupasa kuwa wapole mkuu
 
Wazee wa keno ya meridian. Ivi amnaga ata ka formula kakujua namba ata moja itakayotoka kwenye kila race? Mimi nimeshaaply formular zote za kimathematician lakini holaa.
Tusaidiane wadau, mwenye formular ya kujua ata namba moja tu itakayotoka atusaidie tafadhali.
Haaah huko sio kuzuri kimbia usigeuke nyuma
 
Wazee wa keno ya meridian. Ivi amnaga ata ka formula kakujua namba ata moja itakayotoka kwenye kila race? Mimi nimeshaaply formular zote za kimathematician lakini holaa.
Tusaidiane wadau, mwenye formular ya kujua ata namba moja tu itakayotoka atusaidie tafadhali.

Mkuu faham ile n biashara
Hakuna anayekubali
Kuingia hasara akiwa anaona

Wanaochezesha ile ktu n
Binadam kam cc

Sasa n bora tuwadhamin
Hawa wanaume tunao waona
Uwanjan ambapo hata likfungwa
La mkono lnahesabika
 
Wakuu kuna hik kitim
Cjui kinaitwa maroc
Cjui kimeishaje matokeo

Yake maana kalifaa kucheza
Saa kumi sasa cjui kame
Cancel liwa ama vp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom