Jana nikasema hembu ngoja nijaribu bahati nimejikuta nimeamka na hela ya supu 96, 940
1496724545818.jpg
 
Aisee wakuu juzi kwenye mechi ya juventus na real madrid kwa upande wa premier bet waliweka ile megamix offer mi nikachagua REAL MADRID TO WIN AND BOTH TEAMS TO SCORE (6 ODDS)
Pamoja na REAL MADRID TO WIN A TROPHY (1.80 odd)
Nikatia elfu 5 nikawa nakula 50 k , basi bhana jumapili naenda kumulika mkeka naambiwa NOT A WINNING TICKET wakati matokeo yalikuwa ni 1-4 na real madrid alichukua kombe ,
Nikatupa mkeka wangu kwenye dustbean ile naenda tena leo pale wanapobetisha naskia ile mikeka ya jumamosi tuliotupa imetiki watu wameokota wakatoa pesa ,
aisee premierbet ni matapeli tu.
 
Huo mkeka dogo mmoja alipga, lakini jana yake hakuwa na mkeka aloweka elf 5, aiseeeh
 
Hawa premierbet siwaelewi nilibeti huo mkeka hapo chini na matokeo yote yalitokea kama nilivyobashiri ,ila mpaka leo bado kuna game haijafunguka.Mwenye namba zao aweke hapa nijaribu kuwasiliana nao.
Mkuu ulifanikiwa tatizo.na mimi niliweka jumamos na zote zilitoa but mpaka sasahv hawajaweka hela kwenye account yangu.niliwatumia email hakuna feedback yoyote
 
Aisee wakuu juzi kwenye mechi ya juventus na real madrid kwa upande wa premier bet waliweka ile megamix offer mi nikachagua REAL MADRID TO WIN AND BOTH TEAMS TO SCORE (6 ODDS)
Pamoja na REAL MADRID TO WIN A TROPHY (1.80 odd)
Nikatia elfu 5 nikawa nakula 50 k , basi bhana jumapili naenda kumulika mkeka naambiwa NOT A WINNING TICKET wakati matokeo yalikuwa ni 1-4 na real madrid alichukua kombe ,
Nikatupa mkeka wangu kwenye dustbean ile naenda tena leo pale wanapobetisha naskia ile mikeka ya jumamosi tuliotupa imetiki watu wameokota wakatoa pesa ,
aisee premierbet ni matapeli tu.
Mkuu hapa utakuwa umejitapeli mwenyewe. Wewe unaona kabisa mkeka umeshinda unautupaje kwa mfano? Si ungeenda ofisini kwao kulalamika? Ungebet online ungepiga hela....kuna uwezekano mhudumu uliyempa mkeka aliingiza code vibaya. Pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom