Aladdin
5-6@17
Screenshot_20170605-064146.png
Screenshot_20170605-064133.png
 
Nmekuwa nikibetia kwa Mbet,Mkekabet,Premier kwa betting za kawaida.
Lakin sasa najikita ktk JACKPOT PREDICTIONS....ambazo kwa mbet ni PERFECT12,mkekabet..13MATCHES,.......

MSAADA
naomba munisaidie jins ya kupata/kubet JACKPOT YA SPORTPESA..(Jackpot ndogo{12matches} na Kubwa{16matches})..nackia kwa AIRTEL inawezekana...ila cjui ntawezaje kujiregister......
Thnk u
 
Nisaidie kwanza kumpata mtaalamu wa visasi hapa Dar (mganga wa kienyeji).
Kuna mtu kanitapeli laki 5 yangu hataki kunilipa.
Then nitakusaidia shida yako hiyo ya Jackpot
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Perfect 12 mbona timu ni nyingi kuliko wanavyodai kwamba 12? au kuna nn hapo?
 
Aisee wakuu juzi kwenye mechi ya juventus na real madrid kwa upande wa premier bet waliweka ile megamix offer mi nikachagua REAL MADRID TO WIN AND BOTH TEAMS TO SCORE (6 ODDS)
Pamoja na REAL MADRID TO WIN A TROPHY (1.80 odd)
Nikatia elfu 5 nikawa nakula 50 k , basi bhana jumapili naenda kumulika mkeka naambiwa NOT A WINNING TICKET wakati matokeo yalikuwa ni 1-4 na real madrid alichukua kombe ,
Nikatupa mkeka wangu kwenye dustbean ile naenda tena leo pale wanapobetisha naskia ile mikeka ya jumamosi tuliotupa imetiki watu wameokota wakatoa pesa ,
aisee premierbet ni matapeli tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom