Screenshot_20170604-161325.png
 
⚽ [HASHTAG]#INPLAY[/HASHTAG] ⚽

FC Elva Game

▶️Over 1.5 FH Goals ◀️

Odds - 4/6
Stake -


Selection 2
•Dinamo St Petersburg•
•5th goal•
 
Hawa premierbet siwaelewi nilibeti huo mkeka hapo chini na matokeo yote yalitokea kama nilivyobashiri ,ila mpaka leo bado kuna game haijafunguka.Mwenye namba zao aweke hapa nijaribu kuwasiliana nao.
 

Attachments

  • mkeka.pdf
    443.2 KB · Views: 54
be Levadia Tallin II v FC Kuressaare - OVER 0.5 MATCH GOALS

FC Jaro match Over 0.5 goals
 
BET [HASHTAG]#FSTINPLAY[/HASHTAG] NOW!

Sirius v Halmstad

Sirius - Draw No Bet @ 7/2
 
tu
Dah yaani nimewacheki jamaa nikapotezea kumbe ndo wanawini aisee
TUsichoke MDAU kwani ktk maisha hakuna kukata tamaa kesho nayo n siku, cha msingi ni kuwaomba hao wadau waendlee kutupatia updates hapa hapa jukwaani kwani ipo siku kanji ataturudishia japo chenji kidogo mkuu
 
Chamsingi unaweza kuchomoa kadhaa kila grp ukaweka mkeka mmoja ..na mwingine ukaamua kufa nae kama hizo nane ..haoo jama kuna wiki wanafululiza ya kwanza mpaka yatano awakosi unajaribu kufwata hisia
 
Eskişehir vs Göztepe
Score: 1 - 1
Min: 76
⚽ Goal!!
Göztepe

Tujajribu ov 2.5
 
Chamsingi unaweza kuchomoa kadhaa kila grp ukaweka mkeka mmoja ..na mwingine ukaamua kufa nae kama hizo nane ..haoo jama kuna wiki wanafululiza ya kwanza mpaka yatano awakosi unajaribu kufwata hisia
sawa mkuu tunashukru kwa hilo ww ukizipata jaribu kutuwekea hapa jukwaani kila mmoja anaweza kujaribu bahati yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom