Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 5,808
- 7,156
daah MSV duisburg...Alisepa na Mil10 huyo mshenziiii, halaf mwanzon mwa mwaka alikuwa on fire saiv katepeta na sijui kama atapanda
Uliweka stake ya milioni 10 mkuu?
Hiyo ni zaidi ya roho ngumu
daah MSV duisburg...Alisepa na Mil10 huyo mshenziiii, halaf mwanzon mwa mwaka alikuwa on fire saiv katepeta na sijui kama atapanda
Predictions TodayMkuu hii app inaitwaje
Wako vizur au na wao magumashi tuuu
Hahahaha, yaan huwa nachekaUkisoma jumbe za watu humu unaweza ukawa unacheka mwenyew watu wakadhani umelogwa au umekuwa chizi ghafla
Hahahahahaduuu mi niliwekaga laki moja tena single ikapigwa chap nilitetemeka hadi matako siku hyo daaaa huu mchezo acha kabisa
nataka niwatest sijawahiWako vizur au na wao magumashi tuuu
Poa poanataka niwatest sijawahi
Manchester city mtoa au mpe double chance, Ana miaka 10 hua uwanja kashinda mara mbili tu na suluhu moja Vipigo 7Avai SC - Chapecoense SC
Avai SC / DNB
Middlesbrough FC - Manchester City
Manchester City
Sevilla Atletico - RCD Mallorca
1/X
FC BATE Borisov - FC Shakhter Soligorsk
1/X
Ferroviario CE - Ceara CE
Ceara CE
Vmfd Zalgiris - FK Atlantas Klaipeda
Vmfd Zalgiris
Benfica Lisbon B - Academica Coimbra
1/X
Kasimpasa - Akhisar Bld Spor
1/X
Atletico Venezuela - Aragua FC
1/X
Odds:
15.23
hii handcap mnieleweshe wakuuNimeshavaa "Mabomu ya Jumapili" tayari kwa Kujilipua!
PSG ✔ (1.53)
MAN UTD ✔ (1.47)
MAN CITY ✔ (1.31)
ARSENAL (handcap 2+) ✔ (1.43)
Total Odds [3.85]
50,000/= x [3.85] ------------> 190,000/=
Nitaleta FeedBack Baaaye usiku, 50,000/= !
Dah nimeshatupia!Manchester city mtoa au mpe double chance, Ana miaka 10 hua uwanja kashinda mara mbili tu na suluhu moja Vipigo 7
Lakini Middle ya sasa inayumba sana sio kama ya zamani..ngoja tuone atapigwa tu midoManchester city mtoa au mpe double chance, Ana miaka 10 hua uwanja kashinda mara mbili tu na suluhu moja Vipigo 7
hii handcap mnieleweshe wakuu
Usijali mkuu hiyo ya man city atashinda. Ni gemu muhimu kwake.Dah nimeshatupia!