Hapana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Screenshot_2021-01-21-12-42-02-144_org.bet22.client-01.jpeg


Hiyo ni App angalia total odds ni ngapi na stake ni sh ngapi, kisha paid out ni sh ngapi ?
 
Hizi app zimetengenezwa kulingana na regions yaani unakuta 22bet ya kenya wana app yao ambayo mtz hawezi itumia labda awe na line ya kenya. Ila kuna app ambayo ni universal ambayo njia nyingi za kudeposit ni kwa kutumia bank, paypal, skrill na zingine

Kwa tanzania naona bado hawajaachia app yake

Ukiangalia hapo kenya app ipo ila tz badoView attachment 1682363View attachment 1682364
shukrani sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nyota yangu ktk kubet imefifia kweli.

Siku ya leo huwa natoboa sana
Nikichek record yangu mara nyingi alhamis na ijumaa.

Lakini weekend nadra sana.
 
Ila meridian bet sijui wanashida gani?

Nlishazoea bonus kila niki deposite

Ila kwa sasa acc yangu haifunguki.

Ngoja nikomae na Sportpesa japokuwa hawana bonus.

Kipigo kipo palepale
 
Buyrern ni boya sana
Goli mbili zimemshinda

Kipindi hiki kwenye ligi mbalimbali za ulaya, kuna michuano pia ya vikombe vya ndani kama vile FA Cup, Carabao, Copa Dela Rey, Coppa de Italia.

Sasa hapo timu inacheza jumapili afu jumatano ipo tena uwanjani, afu kumbuka tunaenda february, Uefa Champions League inakuja, so wachezaji wengine huwa wanakumbwa na uchovu, wengine wanajilinda kwa ajili ya Uefa na Europa!

Katika kipindi hiki ni ngumu sana timu kutoa 3 plus kila mechi, so tujaribu walau hata na under 4.5 huwa inalipa.
 
Kaka naongea nawewe saa 5. dkk 9 hii! Leo tafta gemu ubetie under 2.5 first half then utanipa mrejesho. Epuka ligi za Brazil. Au ukipata za under 4.5 au 5.5

Kwa uzoefu wangu probability ya mechi nyingi kupata goli 2 HT ni kwenye 30% na kupata goli 3HT ni 15%! Very rare case timu zinaweza fungana goli 3 in first half. Which makes under 2.5 HT very safe bet.

Full time probability ya mechi nyingi kupata 3+ ni kwenye 50% na kupata 4+ ni 15%!
Kwahio napo utaona kwamba safest regions ni Under 4.5 au 5.5 japo hii inakuwaga na odds chache ni nzuri kama unastake higer
lakin bro shida ya kampuni nyingi hawaweki hyo option ya under 2.5 first japo hata me naona ni rahis sana kupata hela kwa hyo option
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom