Screenshot_20200628-194106.png

Kama umeliwa leo jipoze hapa.
Hiyo ya mwisho ni iceland premier league.
 
Wakuu naomba mwenye LINK ya kutazama mpira anigie, mpira unakaribia kuanza wazee wenzangu.
 
Na taka maana ya 1x na 12pamoja x1 please wazee
1x_team ya nyumbani ishinde au itoe draw,ikifanya hivyo basi utakuwa upo sahihi kwan inakuwa win
2x_team ya ugenini ishinde au itoe draw na ikiwa hivyo bet inakuwa won
12_hapa ni kwamb mpira ukiisha mshindi apatikane isitokee draw ya aina yoyote
mkuu ni hivo iyo ni option ina maana ya katika mechi unachagua machaguo mawili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom