Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,873
- 38,499
Usipaniki mkuu😀😀 badili mbinu.Hii biashara ngumu sijapata ona qumaninner aisee
Wenzio siku hizi wanatembea na goal range 1-5/1-6 akipata odd 1.5 - 2 zinatosha sana.😀
Usipaniki mkuu😀😀 badili mbinu.Hii biashara ngumu sijapata ona qumaninner aisee
Anatumia jina la Venacky Mawalla mpesa unamfahamu?anaitwa nani aliyeingia mitini...unless otherwise umetumwa
hv kumbe na wao ni wezi?
Goal range 1-6 alafu mpira unaisha 0-0 mfano liverpool vs evertonUsipaniki mkuu badili mbinu.
Wenzio siku hizi wanatembea na goal range 1-5/1-6 akipata odd 1.5 - 2 zinatosha sana.
Na kwanini ubetie derby ambayo mara nyingi ni kawaida yao kutoka 0-0. Huo utakuwa ni uzembe.Goal range 1-6 alafu mpira unaisha 0-0 mfano liverpool vs everton
Du 😁 natania tu amekuja kulalamika na hukuMr.JokaAnatumia jina la Venacky Mawalla mpesa unamfahamu?
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mkuu pole sana umeumia sanaUnapiga simu hapokei sms whatsap hasomi but pesa ilikua ndogo so nazani hawa mawakala hawaaminiki sijui ingekua pesa ndefu ingekuwa vip
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Daah kweli ushaur mzur wkeend hii nimechambua mech za kuweka Tzsh 200, mzingo unasoma 1.2mPole mkuu ungetumia playmaster ungeweza kuuza baada ya match moja Kubak au hata ungekosa mtaji wako ungerud.pole Sana mkuu!