Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Inaonekana upo vizuri kwenye hii sekta, next tym weka timu chache ongeza dau utakua unacheka tu kila cku...Kati ya kazi ngumu za kuingiza pesa nilizowahi kufanya nambari moja ni betting.
Aiseeee betting ni kazi ngumu sana, kubashiri ni kazi isioeleweka, yaani mtu unageuka mchawi ghafla.
Namshangaa sana presdaa anavyolalamika et urais ni kazi ngumu! Mwambie ajaribu hii ya kubet, anaweza kua chizi within a day.
Wadau niliweka treni ya tim 30 za wiki nzima, nikafanya uchambuzi na upembuzi hakinifu, nikajipa moyo awamu hii ntatusua, yaliyonikuta!
Treni ilienda fresh kabisa, green color ikatawala kwenye treni yangu nikajiaminisha hii ni zamu yangu kunywa supu, mpaka nikaanza kupanga matumizi ya pesa ntakayopata.
Aiseeee yaliyonikuta! Huyo kiumbe anayeitwa Benifica namuombea ashuke daraja kabisa. Benifica kalala mbele na 1.5M yangu.
Hii kazi ni ngumu inahitajika moyo wa jiwe.
Aluta continua. View attachment 1488375View attachment 1488376View attachment 1488377View attachment 1488378View attachment 1488379View attachment 1488380
Betis U3.5Top Singles...
View attachment 1488442
AmenInaonekana upo vizuri kwenye hii sekta, next tym weka timu chache ongeza dau utakua unacheka tu kila cku...
Bora uweke over 1.5Valencia inawezekana leo akaondoka na Dunia
Kama ulifuta hapa wengine wote hapo game ya kwanza na ya tatu ✔️✔️ tayari
Hii jackpot ya timu 13 ya betpawa Ni ya kipuuzi mi nilishaiacha Ni bora Ni cheza jackpot ya sportpesa yaani unapata timu 12 unapewa buku3 upuuzi huu[SUP]me nimeambulia tsh 113 mechi 10 betpawa jackpot[/SUP]