if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,381
- 1,873
Laini ipo mzee, safaricom
Kama kuna mtu anauza laini ya safaricom naomba tuwasiliane!
Kama kuna mtu anauza laini ya safaricom naomba tuwasiliane!
Sparta leo ametulaza na viatu angewin ilikua shereh mpya amechana mikeka minne dah ila hockey hzo
nimempa,ila nanusa harufu ya haja kubwa,kama atanifanya vibaya vileMbona liverpool ana odd mlima 2.02
Aisee mpaka namuogopa
Kikosi cha leo sio kikosi kizuri, nikiwa kama Liverpool die fan nakushauri ucheze aidha magoli, kikosi karibia chote hakitakuwa uwanjaniTangu 2017 liver hajawai poteza anfield anaanzaj kufa
Haisumbui kutoa pesa kuipeleka skrill na je kuitoa skrill kwenda banki haisumbui?Bank Abc mkuu
Jamani niliomba msaada hapa kwa anayefahamuMfano hii
ili bet ishinde matokeo yaweje?View attachment 1249005
Tupo pamoja,campo bet nawaamini,,koncho77 hapo vp?Na Hiki Leo Ndio Kipimo Changu Cha Hawa CAMPO BET
Ikitoa Hii Nitawaamini MiLELE
View attachment 1249060
sio kweli maana yake ashinde kwa tofaut ya goli moja mfano 3-2Ashinde kwa goal moja tu asizidi zaid ya moja au draw ya 1-1/0-0. Japo nahis kwenye draw inaweza kuwa draw yoyote ila ushindi ndo lazima iwe goal moja tu
Na Hiki Leo Ndio Kipimo Changu Cha Hawa CAMPO BET
Ikitoa Hii Nitawaamini MiLELE
View attachment 1249060
mapema sana kuwa na uhakika wa kikosi muda huuKikosi cha leo sio kikosi kizuri, nikiwa kama Liverpool die fan nakushauri ucheze aidha magoli, kikosi karibia chote hakitakuwa uwanjani
Lengo lako la kurusha won huwa nini?
Kikosi hakiend nje ya Apomapema sana kuwa na uhakika wa kikosi muda huu
we jamaa bana,liver wendawazimu hadi waweke hicho kikosi..watapigwa za kutoshaKikosi hakiend nje ya ApoView attachment 1249214
Ngja tusbr line up mkuluwe jamaa bana,liver wendawazimu hadi waweke hicho kikosi..watapigwa za kutosha
Anatupa motisha,pia kujua team gani huwa zinashinda!! mbona akituma possible huwa mazifuati??Lengo lako la kurusha won huwa nini?
Hahahahahahahahahwe jamaa bana,liver wendawazimu hadi waweke hicho kikosi..watapigwa za kutosha