Jana mechi ya Suduva ilitumwa mapema.kabla haijaanza na iliwin , ilikuwa ni correct score!!
Mkuu nawe pia hujasoma posts za nyuma yaani umedandia treni kwa mbele, SUDUVA imeletwa na jamaa huyu Phd young junior lakini mada ilikuwa tupate udhibitisho kuwa yule Hazard CFC kuwa watu na fixed bet zao jamaa ameshinda single fixed ya stake ya 250,000/= nikaomba mwingine mwenye match hiyo hata kama mkeka umechanika alete udhibitisho ili tujue ule ushindi haukuwa edited. Tusome thread vizuri wajameni.
 
Iv kwann watu hamtumii premier bet au princess bet
Ambapo hapo ungepata pesa yote bila kodi?????
20% nyingi sanaa premer nawapenda sana
Sijawah kuitumia ngoj nitaijaribu nijue lkn betpawa sio wabaya unapata bonus ni sawa na kodi yao tatiz baadhi ya mechi wanabana
 
Iv kwann watu hamtumii premier bet au princess bet
Ambapo hapo ungepata pesa yote bila kodi?????
20% nyingi sanaa premer nawapenda sana
Kodi ya 20% kwa kila ushindi zipo hata huko Premier bet na Princess hebu acha kuongopea watu mkuu. BETPAWA ina raha zake na shida zake ila za PREMIER BET ni zaidi CUSTOMER CARE wasumbufu sana, wana sharti la kutoa pesa kuanzia 10,000/= kwenda juu, PREMIER BET old website ndiyo ilikuwa nzuri hii mpya wamewabana sana wateja wao. PRINCESS BET nao sio wazuri sana kama BETPAWA na 20% TAX ipo.
 
Mkuu

Naomba ufungue kabisa huo mkeka tuone option mpaka ukatengeneza hizo odd mlima, sio kawaida kabisa
Tennis hiyo sio mpira na hapo moja imefutwa
Screenshot_20191016-230814~2.jpeg
 
Naomba kuuliza swali kuhusu 1xbet.
Nikideposit 10000tsh nikacheza odd ya 1.3 nikashinda..nitaruhusiwa kutoa pesa yote(13000) au ntaruhusiwa kutoa 3000 peke ake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom