Duh Napoli nyie mnanikosesha hela tena mnakuwa kama real Madrid
Napoli anashinda ushindi mwembamba hii game. Wahi hizi Odds
Screenshot_2019-10-02-21-26-42.jpeg
 
Martines na Llorente hawakuanza nilipoona tu kikosi nikahairisha kumbetia napoli.
 
Game ya Napoli dunia nzima ilijua kutakua na mvua. Watu wakauziana mechi na makampuni ya kubeti ili yatokee kama haya yaliyotokea. Kwenye betting kuna mchezo mchafu Sana
 
Inplay ilinishinda kabisa
Hapo sasa ... yani Over 1.5 siioni hapa kwa Genk/Napoli. Second half dk ya 75 sasa hakuna shot on target hata moja.

Kuna upepo unapita mbaya sn kwny hii biashara. Dawa kwenda nao sawa InPlay
 
Game ya genk vs Napoli mikeka yangu ifuatayo chalii
First half over 0.5
Napoli win
GG
Over 2.5
Sub over 5.5
 
Hahahaha aaahhaaaahaa
Siyo kwamba nimefurahi sana, lahasha hiki ni kicheko cha huzuni, inafika wakati sasa hata kulia unashindwa pamoja na kwamba kichapo ni kikubwa unachopata.
Napoli hata over 0.5 hakuna?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom