Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 991
Sometime kubet???????????????????????
Mwana weka hlo weka hapa tupite naloSio kweli, jumapili niliweka timu 14 na zote zimetoa, leo jumatano nimeweka timu 15 na zote zimetiki
Umeona mambo ya direct win mzee? Napoli huko kapigwa swaaafi!Leo game za ushindi
Celtic
Liverpool
Rangers
Young boys
Chelsea
Madrid
Atletic madrid
Napoli
Psg
Hakuna mchawi hapo
Umeona mambo ya direct win mzee? Napoli huko kapigwa swaaafi!
Yakwamba | akuna mchawi!!! |
Ligi ya bongo imo 1xbetHivi 1XBet ana ligi kuu Tanzania bara?? Site gani za nje ya nchi na ndani ya nchi wana Ligi kuu Tanzania Bara???
Mwana weka hlo weka hapa tupite nalo
Weka hata photo tu ili unitie moyoTayari nimelipwa
Timu 15 hizo....!!!!Weka hata photo tu ili unitie moyo
Utangoja sana mkuu.Weka hata photo tu ili unitie moyo
Direct win uchawi tosha.
Yakwamba akuna mchawi!!!
Ntangoja nnUtangoja sana mkuu.
Shukran hapa nitajifunza kituTimu 15 hizo....!!!!View attachment 1216151
Sisi hatuongei tunafanya, vp sauti inatosha au niongeze...???Utangoja sana mkuu.
Sisi hatuongei tunafanya, vp sauti inatosha au niongeze...???
Sisi hatuongei tunafanya, vp sauti inatosha au niongeze...???
Bado sijachambua, mungu akijalia nitaweka kiongozTupia treni la kesho chief
best of luck mzee!Sisi hatuongei tunafanya, vp sauti inatosha au niongeze...???