Wakuu kwan total odds huwa wanacalculate vp, nimejaribu kuchukua games 7 za odds 1.20 each kama jamaa hapo juu lakin total yake haizid odds 4 wakati nikizidisha kweny calculator napata 8.4...ufafanuz wataalam.
 
Da pole mkuu kwenye kamari wewe unaonekana mgeni kabisa pia hesabu shulen zilikupita kushoto yaan unachukua
1.20 x 7 =8.4

Chukua hivi 1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2 = 3.58 hili ndio jibu sahihi

Hapo juu ni majibu mamwili tofaut
 
boss ku verify acc. ya skrill ulifanyaje mpaka ikakubali? mimi nilituma bank statement,pasport na vitambulisho kibao ikakaa baada ya wiki kadhaa vikawa rejected!!! nikaachana na hiyo acc maana niliambiwa hata ukija kula mkwanja mrefu huwezi kuitoa . Nilikuwa natumia dirrect visa sasa wameshabana rasmi haiwezekani tena hawa warusi
Sija-verify mkuu, ila kama huja-verify hua kuna limit wanaeka nafikir mwsho ni 1m kama sijakosea..na kama skrill imegoma tumia e-wallets zile zingine zenye unafuu pia
Hapo nilipo bold sijakuelewa hiv
 
Ok wakuu mdogo mdogo na mm nitakuwa expert kweny huu mchezo, inaonekana kuna fursa hapa nimechelewa kufaham manake kwa vimshahara hv hata kumiliki gari mpaka ukachukue loan sio poa...ngoja tujaribu, kwa kuanzia nitaanza na 100k timu za ushindi zinajulikana na kupitia tips za kweny huu uzi itawezekana tu.
 
thubutuuuu....muulize man city alipokutana na Norwich au united na westham au barca na Granada ndo utajua
 
Mkuu mi mwenyew ni shabiki mzuri wa united na nafatilia sana mechi za timu nyingi, hao uliowataja walifungwa ugenini, mi nitaweka za nyumbani tu, kwa kuanzia nitaanza na watabe tu waliopo nyumban lakini pia nitaconsider strength ya mpinzani kama mpinzani yupo vizuri hapana sitaweka hela labda nianze na strategy hiyo...nipo tayari kusahihishwa na wataalam...naanza na barcelona leo then napoli, hao tu.
 
Ok wakuu mdogo mdogo na mm nitakuwa expert kweny huu mchezo, inaonekana kuna fursa hapa nimechelewa kufaham manake kwa vimshahara hv hata kumiliki gari mpaka ukachukue loan sio poa...ngoja tujaribu, kwa kuanzia nitaanza na 100k timu za ushindi zinajulikana na kupitia tips za kweny huu uzi itawezekana tu.
Huh mkuu naona umepania kweli... Huu mchezo hauhitaji papara. Kaa chini, tuliza kichwa then chagua timu mbili weka dau kubwa. Ukikimbilia kuweka treni utakula za uso hadi...... ....
Karibu kilingeni
 
Da pole mkuu kwenye kamari wewe unaonekana mgeni kabisa pia hesabu shulen zilikupita kushoto yaan unachukua
1.20 x 7 =8.4

Chukua hivi 1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2×1.2 = 3.58 hili ndio jibu sahihi

Hapo juu ni majibu mamwili tofaut
 
Sija-verify mkuu, ila kama huja-verify hua kuna limit wanaeka nafikir mwsho ni 1m kama sijakosea..na kama skrill imegoma tumia e-wallets zile zingine zenye unafuu pia
Hapo nilipo bold sijakuelewa hiv
Nilikuwa natumia visa lakini kuna marekebisho wameyafanya kwenye web pamoja na app zao , haikubali tena ku deposit
 
Nimeona kuna kitu kinaitwa handcap nimefata hiyo kwa barcelona odds 1.76 nimeweka sh. 60,000 naamini barca atapeleka goli nyingi kwasababu wana hasira na wana quality up front so expect a disaster kwa villareal leo...
 
Nilikuwa natumia visa lakini kuna marekebisho wameyafanya kwenye web pamoja na app zao , haikubali tena ku deposit
Oooh hapo sijajua..mana mi juzi niliweka kwa kutumia kadi 1xbet, nikafikisha kias fln cha hela nikakitoa kupitia skrill..labda watujuze wengine, niicheki pia
 
Nilikuwa natumia visa lakini kuna marekebisho wameyafanya kwenye web pamoja na app zao , haikubali tena ku deposit
Inaonekana hiv..hlf mbn hapo kwa Visa mbn inaruhusu maana hadi option ya gambling na non-gambling purpose inaonekana
20190924_213132_rmscr-1.jpg
20190924_213152_rmscr.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom