Jamaa hawa website yao huwa ni nzito kufunguka mpaka inakera. Ila wana options nyingi na nzuri kwa kupiga pesa. Nilikuwa napiga pesa ndefu sana na ile optiion yao ya Zero bet. Nina zaidi ya mwezi kila nikijaribu kuingia mtandao haupatikana unakutana na ERROR message tu
Hiyo option ya zero bet ni ipi hiyo mkuu?
 
Amka kwenye huo ujinga mzee. Huo unaoufanya ndo upuuzi halisi, upuuzi pure, na utaliwa mpaka akili ikukae sawa. Unalalamikalalamika nn na watu washaongeaga sana kuhusu directs, ukiliwa nyuti kuficha ujinga mzee.
Unanishangaza sana mzee...unahisi wewe ni master wa huu mchezo sio,nikudokeze kidogo tu ninavyoongea nalala na faida ya 150k kutoka kwenye basket ila sijafurahishwa na jinsi unavyowacheka wana waliochezea za uso.Lengo sio kuchekana inatakiwa tuelekezane na kufarijiana
 
Kabisa mkuu,kwani ukipata Leo ujue mwenzako kapigwa,vivyo hivyo ukiliwa Leo ujue kuna mwenzako kapata,

Jambo la muhimu ni kufarijiana na kupeana strategy zingine za namna ya kupata siku nyingine
 
Unanishangaza sana mzee...unahisi wewe ni master wa huu mchezo sio,nikudokeze kidogo tu ninavyoongea nalala na faida ya 150k kutoka kwenye basket ila sijafurahishwa na jinsi unavyowacheka wana waliochezea za uso.Lengo sio kuchekana inatakiwa tuelekezane na kufarijiana
Wote tunacheza betting na wote dhumuni ni tushinde, I make money weeks n weeks ila ni ujinga kila siku uwe unafariji msiba wa kujitakia... mimi si bingwa na pia si mjinga kiasi cha kutojifunza na makosa
 
Over 1.5 inatoa sana angalia league na team unazobetia yaani hiyo game ya AC Milan ulijichomeka mwenyewe maana hiyo team ni kubwa lakini ushindi wake ni kama vile wa Atlentico Madrid yaani Mara nyingi ushindi wake ni mwembamba maana yake sio team za kubetia over Italy angalia team kama As Roma, Atlanta, Torino, Lazio, zinatoa sana over 1.5
Hebu tuwekane sawa kidogo hapa;Sisi sote tunamuwinda kanji bai,haijalishi ni kwa njia ipi,iwe normal,gg,au double chance etc.Sasa ukiona mtu kacheza direct win na wewe ni mpenz wa magoli 1.5,2.5,3.5 etc,tusichekane wala kuvunjana mioyo! Mimi ni muumini mzuri wa kucheza over 1.5,lakini huwezi amini napigwa sanaaa tu !mfano leo nani aliamini Ac Milan ingetoa kagoli kamoja tu?lakini hapo mtu wa normal(direct win)kala,mimi wa goli mbili tumechapika mbayaa!!!So hakuna njia rahisi ya kumpiga muhindi,muache mtu achague ,tusizomeane wala kuchekana !!!"aluta kontinua"
 
Tatizo kuna watu wanajiona mabingwa wa kucheza magoli but wanaliwa mara kibao tu kama ingekua kucheza goals ni safe si wasingekua wanachaniwa wao ingekua ni kuwin tu
Mkuu sio kwamba mabingwa sema game zingine huwa hazitabiriki lakini kuna game ukiziangalia kwa statistics zao unaona option ya magoli inafaa mfano nani alijua Jana barca, Chelsea, Dortmund zingepoteza kwa direct win?? Lakini kama ungecheza magoli kwa game zote tatu ungekosa pesa???
 
Wazee wa direct win wanaendelea kunyooshwa ipasavyo! manchester, Barca na Chelsea oyee
Wewe jamaa acha mambo ya kidada k*ma wewe so unafurahi watu wanavyo poteza au!! Hebu tuonyeshe mikeka yako uliyoshinda hapa!!!
Acha mambo ya kimburula pimbi wewe!!! Ungekuwa karibu ningekupa show ya nguvu matako yako makubwa kama ya vera sidika...pumbaf sana unaf*rwa na mateja....hawana mkubwa wewe!!
 
Mkuu naomba mkeka achana na huyo bwana
Wewe jamaa acha mambo ya kidada k*ma wewe so unafurahi watu wanavyo poteza au!! Hebu tuonyeshe mikeka yako uliyoshinda hapa!!!
Acha mambo ya kimburula pimbi wewe!!! Ungekuwa karibu ningekupa show ya nguvu matako yako makubwa kama ya vera sidika...pumbaf sana unaf*rwa na mateja....hawana mkubwa wewe!!
 
Wazee naombeni mawasilano ya PARIMATCH kabla sjachukua maamuzi magumu . Haiwezekani nimewithdraw 30K yangu tokea Jana saa nne usiku mpaka muda huu iko pending. Huku ni kuchezeana akili na kutaka Kung'oana firigisi. Hii kazi ni ngumu Sana hvyo tuheshimiane wakinila wanachukua chapu basi na mm nikiwala wanipe jasho langu Chapu syo Mambo ya kuwekeana Giza.
 
Tusigombane wazee Mambo Ni ngumu kote syo direct Winn wala magoli kla Kona kanj katubana.Hapa n tifarijiane na kupeana angalau possible winning.
Kagueni hyo ngoma hapo wazee
Screenshot_20190901-070720.jpeg
 
Unanishangaza sana mzee...unahisi wewe ni master wa huu mchezo sio,nikudokeze kidogo tu ninavyoongea nalala na faida ya 150k kutoka kwenye basket ila sijafurahishwa na jinsi unavyowacheka wana waliochezea za uso.Lengo sio kuchekana inatakiwa tuelekezane na kufarijiana
Mkuu huyo jamaa ndio alvyo anataka kulazimisha option zake zifatwe tang kitambo anaboa sana achana nae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom