Hio 2mill aliyotembea nayo kanji sio poa kabisa, always risk what u can afford

Betting ni kurisk pesa, either inaweza kurud au isirud, unavobet pesa ya kiwanja sijui unategemea nn
ndo ile game inaisha unapelekwa hospital na drip juu,

Mim huwa nabet kama masiala, yaan nikipoteza hainiadhir chochote kesho naendelea na kazi zangu kawaida, nikiwin basi Mungu anakuwa amesaidia

Siwezi nikabet afu nikaanza kutetema, kana kwamba mim ndio nacheza uwanjan nifunge hizo gor,

Jmn betin kwa kurelax sanaa, yaani ukipoteza unakuwa normal ukiloose unakuwa normal, ili kufikia hii hatua usije kubetia pesa ambayo ipo kwenye matumiz,

Pesa za kubetia n hiz,

Ulikuwa unahela haina kaz unataka kuhonga malaya,

Ulitaka kuweka heshima bar, na nyama choma, sasa ukaona poa ngonja nikamjaribu kanj,

Pesa yeyote unayohisi haitakuadhir pind inapopotea hio ndio ya kubetia,

Sasa watu n pale unapochukua hela ya mtaji et unabet, au pesa ya mboga, au ada ya shule, au pesa ya vikoba lazima tukuokotee hospital tu
hakuna namna,
 
Tatizo linalosumbua ni ugeni katika betting, mtu anaeitambua betting ilivyo hawezi kurisk pesa kama ile kwa mechi kama hizo, ni bora hata angempa simba ashinde au adroo, mana kama angefungwa jana simba na jkt ingekuwa ajabu, angeambulia hata laki 3 au nne kwa mzigo huo aliokuwa ameweka, kwa kweli hiyo pesa imeniuma .

Hiyo hela alikuwa anawekaga rafiki yangu fainali za ligi kubwa, namshahara wake ni 6m+ Mtumishi mmoja wa UNDP.

Pia tusishangae mana kila mtu na mfuko wake, huende yeye hiyo stake haiathiri kitu kwake that means ana afford kuipoteza

Pesa
IMG_20190830_103031_393.jpeg
 
Kaweka mwingine odds ya 50 katupia laki 5

Hana njaa huyo
 
Mkuu ile ngoma ya bank ABC ya kununulia vitu mitandaoni ambayo acc no ni namba ya kadi inakubali kutolea? maana nimeijaribu ku deposity ni fasta kama umeme ila sijafanikiwa kula ili nijue kama inakubali kutoa

Subiri ukishinda utaona maajabu yake
 
Wadau naomba mnielekeze hapa kwenye handicap..nataka nibet possession sasa mim zinanichanganya

Mfano mechi ya Man united vs Southampton wameweka hivi;
1(17)
1(19)
............
2(-17)
2(-19)
Hizo handcap zinamaanisha nini maana sizielewi..msaada please!
 
Nicheki nikuelekeze 0675856398
IMG_2772.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom