Daaa mwenyewe nilivyofungua livescore moyo ukaenda kasi !! Ila jimenez ,jota , mountino and Neves they got your back brother more minutes to come
Wolves katoka UEFA kupambana na TORINO. Hata hivyo focus yao ipo kwenye marejeano na TORINO home. Nguvu yao si kubwa hapo...
 
Kuna jamaa alisema Newcastle anaweza kumtandika Spurs, ngoja tuone maana game bado sana. Ila siku ya leo haiko poa sana, game ya Wolves nilipishananayo...hawa jamaa leo wako full ila mawazo yao yote kwenye game ya Europa.
 
Haki Wolves akishindwa nakushauri mkuu usiweke tena uzi wako hapa.

Imagine siku ya leo nami nimekufuata kwa kumpa direct win.

Nina mkosi gani huuu!!!!!
we jamaa bana... kwamba ww ndo sbab? ... hamna boss.. fuatilia vizuri utaona timu ambazo ziko michuano ya UEFA zinakuwa na uzito kwnye league. Haziweki tena focus huko ukitazama una mechi kubwa tena nyumbani... mimi niliogopa nikaipa ka over 0.5 tu kwakweli
 
Tena nimecheza single game ila naona ni kizunguzungu.

Screenshot_20190825-191822.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom