kwa sababu simba uhakika kushinda odds 1×,over/under,direct win kote huko wamefinya odds
kanj bhai janja sana
 
Hamna vumba hapo,tatzo ni kutokujua kipi kitatokea, ni sawa na mtihani ukitoka chumba cha mtihani na majibu yanaanza kuja, mm nashauri usimpe mtu direct win hata awe baba yako mzazi, ww cheza over kwa kila timu mfano leo man city over 1.5, anaweza kutoa
Hiv kuna uwezekano muhind akawa anatumia vumba kufubaisha akili za wanaobet wasiamue ipasavyo..au hiz ni iman tuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom