Mchawi nani hapa wakuu nafikira kutoka ivi kesho
IMG_20190824_234659_809.jpg
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Natk niweke mzigo mwingi je? Natakiwa nichgue team ngap?
 
KILA NIKICHUNGULIA ROHO INASITA KUWEKA STAKE HIVYO BASI KWA SIKU YA LEO NAJIPA LIKIZO....NO BETTING FOR TODAY...TUTAENDELEA KESHO INSHALAHH KAMA TUKIPATA GAMES
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom