Napima upepo
Screenshot_2019-08-20-15-58-20-1.jpeg
 
Nimetumia parimatch kwa mara ya kwanza, nimepiga pesa ila hawaitoi mpk sasa. Naona na ww unatumia parimatch je unamawasiliano yao ya simu. Email hawajibu
Mi sijawahi wasiliana nao maana sijawahi pata shida yoyote mkuu ila si kuna sehemu ya kuchat nao live je nako hawajibu?

Kama vp jaribu kuverify kabisa akaunti yako kama bado labda linaweza kuwa ndo tatizo
 
Nilikuwa naona Professa akiweka humu mikeka yake, siku moja nami nikasema acha nijiunge Meridian nipige pesa kupitia nyota yake.

Akaweka mkeka wa kwanza nikakopi na kupaste, mwisho wa matokeo ikawa ndo hivyo tumepoteza. Nikapiga moyo konde nikaweka tena mwingine alioweka pia ikawa ndo hivyo.

Akakaa kama siku mbili hajaweka mkeka, siku alipoweka nikaruka nao ila wapi ni mwendo wa kupigwa tu. Mwisho nikasema acha nifanye yangu. Nikaanza kubet mwenyewe kwa mawazo yangu nikawa nakula muda mwingine napigwa.

Jana nimekaa na kusaka pointi 15 na zikawin, leo nisaka 22 najua zitawin.

Kwa sasa hata nione humu fixed match siwezi kukopi nitakomaa na akili yangu.

Na wewe unayeleta humu mkeka omba nisiukopi .
Ila kiukweli hata mm nina gundu na mikeka ya watu mpaka nilishaacha kutembelea mkeka wowote naouona huwa nashuhudia tu Won won ila nikijipanga niruke nayo lazima niliwe kichwa.

Anyway ni imani tu wala hakuna mwenye gundu ktk hili ni upepo tu ukikaa vibaya.

ODDS 10 hizo mwenye imani na atembee nazo wenye pressure tuziangalie kwa macho tu tykutane Lumumba aka Kijanini.
Screenshot_20190820-160237.jpeg
Screenshot_20190820-160249.jpeg
 
1544 Championship
Hull City - Blackburn Rovers
12 & Ov(1.5) *1.63*

1570 Championship
Sheffield Weds - Luton Town
12 & Ov(1.5) *1.65*

Odd *2.69*


*Bet9ja👉🏿 Z59MZ726*


1427 League One
MK Dons - Lincoln City
12 & Ov(1.5) *1.68*

1476 League Two
Plymouth Argyle - Salford City FC
12 & Ov(1.5) *1.70*

Odd 👉🏿 *2.86*
 
1544 Championship
Hull City - Blackburn Rovers
12 & Ov(1.5) *1.63*

1570 Championship
Sheffield Weds - Luton Town
12 & Ov(1.5) *1.65*

Odd *2.69*


*Bet9ja👉🏿 Z59MZ726*


1427 League One
MK Dons - Lincoln City
12 & Ov(1.5) *1.68*

1476 League Two
Plymouth Argyle - Salford City FC
12 & Ov(1.5) *1.70*

Odd 👉🏿 *2.86*
*_Money Stops Nonsense_*

*_Booking Number:Z59N25FZ_*

Code 6435 Date 20/08/2019 20:00
Event LASK - Club Brugge
Live/Prematch Prematch Selection GG or Ov2.5

Code 6437 Date 20/08/2019 20:00
Event Apoel Nicosia FC - Ajax
Live/Prematch Prematch Selection Over2.5

*_2.56odd_*

*_Stake: ₦ 5,000.00_*


*_Malaysia Money💰_*
 
Nimepita nje ya kijiwe kimoja cha betting, nimesikia jamaa anasema Pogba wewe ku*a m**ak*

Nimeweka 50,000/= jana halafu unakosa penati

Dah.... Betting bhana ni presha tu
 
Nimepita nje ya kijiwe kimoja cha betting, nimesikia jamaa anasema Pogba wewe ku*a m**ak*

Nimeweka 50,000/= jana halafu unakosa penati

Dah.... Betting bhana ni presha tu
Hahahaaaaaaaaa nasiki kabet wanamchunguza kama siasia
 
WALIOCHOMOLEWA. BETRI NA POGBA JANA TWENDE SAWA
SWINDON DC
SHEFFIELD WED DC
JONG DEN BOSCH 2.5 OV
VITORIAL SETUBAL 1.5 OV
******2.20 ODDS*
MAXBET STAKE WIVES
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom