Chonde chonde jamani mnaotaka kuanza kubeti kwanza mjiulize MNA moyo wa Chuma maana hii kitu ni zaidi ya Ndoa ukishaingia kutoka ni issue sana halafu kama ndo unamatatizo ya Moyo au Pressure tunaweza tukakupoteza mapema I see.....Huu ulingo ni wa moto sana, kuna kipindi cha furaha na kuna kipindi cha majanga yaani hichi kipindi kama unademu unaweza hata ukamsahau maana utapulizwa na muhindi mpaka utasema ngoja nipumzike hata mwezi na huo mwezi humalizi unashangaa mwenyewe unarudi tena ulingoni!!

Sisi wabetiji huwa tuna tabia ya kujiamini yaani hata kama 500 basi unajipa matumaini yakumpiga kanji na hatujawahi kukaukiwa na pesa za kubet....

Ila PARIMATCH WAMEANZA USENGE MAMAYEEEE....JANA WALINIWEKEA -11111 TSH, LEO NAKUTA -38000 TSH MAMAYEE CJUI WAMEISHIWA PESA..inaonekana watu wanawapuliza sana isee
 
Nimetumia parimatch kwa mara ya kwanza, nimepiga pesa ila hawaitoi mpk sasa. Naona na ww unatumia parimatch je unamawasiliano yao ya simu. Email hawajibu
Namba ya kutuma kitambulisho Whatsapp
20190820_132554.jpeg
 
Akimaliza kupima presha ajikane nafsi yake.
Ha ha ha Na akiliwa aandae visingizio vya kujifariji, sasa hivi aseme ni mwanzo wa msimu wachezaji hawajachangamka nasubiri ligi ifike katikati, msimu ukifika katikati aseme timu zinaviziana ngoja nisubiri mwishoni mwa ligi ndio timu zinapasuana, msimu ukifika mwishoni aseme bora nisubiri tu msimu ujao sasa hivi timu hazieleweki au timu zinauza mechi
Ukimaliza hapo unasema bora nihamie kwenye basketball na tenes
 
FREE TICKET:
⚽️21:45 Milton keynes-Lincon city 1X(1.45)
⚽️21:45 Hull city - blackburn 1X (1.40)
⚽️21:45 Deby contry - Bristol city 1X (1.35)
⚽️21:45 Accrington -Shrewsbury 2(1.50)
▶️TOTAL ODD: 4.25
 
★PLAY SINGLE


Rochdale - Sunderland [ 1 ] - 3.30
★Cuiaba Mt - Figueirense [ X ] - 3.10
☆ Good Luck all 👍👍
 
South Africa u20 vs Nigeria u20 mpaka sasa nigeria anaongoza 1 bila , home team apate goli ana 7 mpira dakika ya 34 kipind cha kwanza naona hii odds 7 kwangu iko reasonable ngoja niweke mzgo wa kawaida , me natumia meridian
 
★ Start : 14:00Pm
★ Ligue : Scotland Reserve league
★ Match :Greenock Molton - Halmiton
★ Tip : [ 0 - 3] FT
★ Odd : 10.25
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom