Pesa iyoooo tunapishana nayo
Screenshot_20190703-210255_FlashScore.jpeg
 
Msaada tafadhili account yangu ya premier imefungiwa siwezi kutoa pesa na sijawahi fufanya chochote kabla mi nimtumiaji mya wa hii account
IMG_20190704_120945_157.jpeg
 
Wadau habari,naomba msaada kama ifuatavyo. Nimepata line ya Safaricom na nimefungua vizuri account ya 1Xbet Nikaweza kufanya deposit ya kwanza vizuri kabisa. Tatizo kila nikitaka kufanya deposit sasa hivi inakataa,inaniambia ni activate account na namba ya simu,lakini kila nikijaribu sms ya activation code haiji kwenye namba yangu ya Safaricom,lakini kwenye web inaonyesha kuwa sms imetumwa Naomba ushauri wajuzi.
Akhsanteni
 
Kama una laptop download 1xbet windows app halafu jaribu kuactivate uone...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom