Oya wakuu...

Hivi betting kampan gani iko vizuri kwenye game za kikapu.

Yaani game nyingi
Odds tamu.
Na live bet yenye option kibao.
Na wanalipa kwa wakati.

Basket iko njema saana... Pesa ya chap chap nataka niigeuze kuwa biashara yangu..

Msaada tafadhar.
 
1xbet ila mm napenda betpawa
Oya wakuu...

Hivi betting kampan gani iko vizuri kwenye game za kikapu.

Yaani game nyingi
Odds tamu.
Na live bet yenye option kibao.
Na wanalipa kwa wakati.

Basket iko njema saana... Pesa ya chap chap nataka niigeuze kuwa biashara yangu..

Msaada tafadhar.
 
Juzi nilimix mix nkala jana nkasema sibet leo ndo nabet tena
Screenshot_20190701-235959_Chrome.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom