Msaada wakuu. Nimefungua account Premierbet kama wiki moja sasa. Leo nime-win bet lakini najaribu kutoa pesa napata ujumbe huu hapa. mwenye uzoefu na hii kampuni msaada tafadhali

View attachment 1122114
Uwe umeshinda kuanzia 10,000/= kwenda juu ndipo utaweza kutoa pesa kama ni pungufu ziache au bet zaidi. Hayo ni maelekezo yao ya jana tarehe 08 Juni 2019 kuwa huo ndiyo utaratibu wao mpya.
 
Mkuu mpaka sasa kwenye account yangu nina 94k inakuaje nimetaka kutoa 50k haitoki? Labda sijakuelewa vizuri mkuu.
 
Maelezo hayo waliyatoa wapi mkuu niyatafute?
 
Mkuu mpaka sasa kwenye account yangu nina 94k inakuaje nimetaka kutoa 50k haitoki? Labda sijakuelewa vizuri mkuu.
Watafute WhatsApp, messenger au Facebook chat pia waandikie e-mail. Wana usumbufu hao nilikuwa natoa hela nikapata shida nilitumia wiki 3 za kupambana kweli kweli hadi issue yangu kuwa resolved. Makao yao makuu ni London hapa Tanzania Kanjibhai ni tawi tu.
 
Yaani hawa jamaa hawajibu kabisa email wala whatsapp sms.
 
Nilipiga Customer Care nikajibiwa na agent, watafute messenger na e-mail kwenye website yao.
Kwa ulivyoelewa wewe mkuu kama umeweka 10000 ukaweka ukashinda 13000 itatoka au inabidi iwe umeweka 10000 halaf ushinde 10000= 20000 ndo itatoka samahan lakin washanzingua sana hawa
 
Nimewapa tarifa kuwa nimejaza fomu ya malalamiko kwenda Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu. Nashangaa mpunga umekubali kutoka mkuu.
 
Hebu tupe link ya hiyo form nasi tulalamike huu utaratibu mpya ni uonevu hata kama ndiyo T&C apply.
 
Asante nalalamika sasa hivi, yaani tuhangaike na MYBUX,BITCOINS line za Safaricom kwa warusi wa 1XBet halafu na makampuni ya hapa yatusumbue kiasi hiki. Leo siwaachi.

Fanya hivyo mkuu, maana hakuna kuwachekea hawa watu
 
Natest mitambo
Screenshot_2019-06-09-21-21-36-1.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom