ni kweli ungepata mtu unayemfahamu akakusajilia kwa ID yake ingekua poa, sema hta hiyo haina shida kivile
Mkuu nawaza tu kwa sauti hapa yaani inatokea mtu siku hiyo unampiga parefu Mrusi km jamaa alivyouza Almasi ss wanapokuja kutaka confirmation ya Identities lazima wakuzulumu kirahisi mno coz sababu zoote wanazo
 
aah kweli ila unawithdraw kidogo kidogo mkuu, ukipiga vilaki laki hawabani kuwithdraw
 
aah kweli ila unawithdraw kidogo kidogo mkuu
Sawa mkuu swali langu la mwisho kwani mfano mm nikaenda pale namanga nikavuka Border kwa passport yangu nikaingia Kenya siwezi kusajili line ya Safaricom kwa passport yangu then nikarudi nayo Bongo?

Je unatumia kitambulisho gani kusajilia hiyo acc mpya ya 1xbet?
 
Wanataka uwe na kitambulisho cha Kenya, ila kama una passport na yenyewe inafaa pia
 
Dah hongera sana mkuu
Wadau wapo hapa wanakuuzia line imesajiliwa kabisa , unapewa majina tu

Issue ni ukiwapiga warusi parefu na ukataka kutoa mkwanja wako kwa mkupuo
Hapo ndio mtihani unapokuja

Lakini kwa hivi vilaki laki tunavyo won haina shida

Cha muhimu hakikisha acc yako isiwe bank, yani ukalimbikiza mihela ikawa mingi
Ukitaka kuitoa kwa mkupuo lazma utakutana na kikwazo cha id

Na hiyo ni kwa kampuni zote ukiwapiga parefu lazma watataka utambulisho
 
Kweli aisee mkuu ngoja nijitahidi niipate hiyo line ila kuna mdau hapo Etoo43 kasema anazo ila anauza kwa watu wa Dar moshi tu ss sijui nani mwingine anazo
 
Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom