Aisee mi mwenyewe nahangaika kinoma kujua namna kufanya jana nimeuliza humu hizo line zinafanyaje kazi au kwa wale wanaotumia bank wanafanyaje naona watu wamekunja tu roho,Vp hizo line zinafanyaje kazi?
Duuu pole sana mkuu,kwa kweli sijawahi kuitumia ila nikiipata nadhani nitarudi hapa jukwaani kutafuta uzi page za nyuma huko kuna mdau aliwahi elekeza namna ya kutumia safaricom,hebu ngja nicheki kuna sehem niliwahi save nakumbuka ngja niangalie nikutumie maelezo
 
Poa mkuu fanya hivyo aisee na mm naweza itafuta hiyo line
 
Aisee mi mwenyewe nahangaika kinoma kujua namna kufanya jana nimeuliza humu hizo line zinafanyaje kazi au kwa wale wanaotumia bank wanafanyaje naona watu wamekunja tu roho,Vp hizo line zinafanyaje kazi?
JINSI YA KUTUMA HELA KUTOKA M-PESA TZ KWENDA M-PESA KENYA
Ingia menu ya mpesa * 1 5 0 * 0 0 # >> 1(Tuma pesa) >> 3 (Tuma pesa nje) >> 1 (Tuma pesa) >> Weka namba ya mpokeaji (anza na 254….) >>Weka kiasi cha kutuma >> Chagua sababu ya kutuma (Weka 1. Familia) >> Weka namba ya siri >> Thibitisha kwa kubonyeza 1.
JINSI YA KUTUMA HELA KUTOKA M-PESA KENYA KWENDA 1XBET
Nenda kwenye app ya Sim Tool Kit (STK) – Ni app inayopatikana kwenye simu zote ukishaweka line ya SafariCom.
Anza hivi: Sim Tool Kit >> Safaricom>>M-PESA >> Lipa na M-PESA >> Pay Bill >> Enter business no {weka 290027} >> Account no. (Weka ID yako ya 1XBET) >> weka kiasi >> weka pini >> bonyeza OK . Ukimaliza M-Pesa itakuuliza "kukata huu muamala bonyeza no yeyote" usibonyeze (ukibonyeza utasitisha malipo).
JINSI YA KUTUMA HELA KUTOKA M-PESA KENYA KWENDA M-PESA TANZANIA
Anza hivi: Sim Tool Kit >> Safaricom>>M-PESA >> Lipa na M-PESA >> Pay Bill >> Enter business no {weka 255255} >> Account no. (namba ya Vodacom TZ anza na 255…) >> weka kiasi >> weka pini >> bonyeza OK . Ukimaliza M-Pesa itakuuliza "kukata huu muamala bonyeza no yeyote" usibonyeze (ukibonyeza utasitisha malipo).
 
Okay nimeelewa vizuri mkuu,je hizo line zinasajiliwa kwa jina la nani?

Je kule 1xbet hakuna ule utaratibu wa kuingiza kwanza ammount unayotaka kudeposit then wakutumie zile ussd msg za confirmation?
 
Mkuu ukipata laini ya safaricom unatakiwa ufungue a/c mpya kwa location ya Kenya, kuna VPN zipo utazidownload. Tafuta laini kwa wadau humu wanauza, ukiipata utaelekezwa step moja baada ya nyingine
 
Binafsi natumia Bitcons
Maelezo mazuri lakini maswali mengi ya wadau ni jinsi gani ya kufungua acc 1xbet kwa safaricom?
Je unaweza kuchagua currency ya Tsh au ni lazima iwe Ksh
Inaonekana kuna shida ya kuipata 1xbet kenya ukifungua hapa tz, njia gani rahisi ya ku access 1xbet kenya?

Minimum withdrawal ni sh ngapi?

Assume nina sh 10,000 mkononi nataka niideposit 1xbet, wastani itafika sh ngapi (makato vp)
 
Swali zuri, line hizo zinakuja zimeshasajiliwa kwa Majina ya watu wa Kenya. Kule xbet, kudeposit haihitaji request yoyote. Lakini transactions utazifanya kwa line ile tu uliyoitumia wakati wa kusajili account ya 1xbet.
 
Mkuu ukipata laini ya safaricom unatakiwa ufungue a/c mpya kwa location ya Kenya, kuna VPN zipo utazidownload. Tafuta laini kwa wadau humu wanauza, ukiipata utaelekezwa step moja baada ya nyingine
Kwahiyo mkuu kumbe inabidi kufungua account mpya kule 1xbet nikajua naweza tumia ileile ya mwanzo,

Basi nadhani kuna kashule kidogo kanahitajika aisee
 
Yeah ni kweli mkuu yanaeleweka vizuri ila nataka nifahamu suala la usajili wake upoje..
Kusajili account ya xbet kwa line ya Safaricom ni rahisi, lakini pale kwenye country lazima utaweka Kenya, kwa sababu ukitaja nchi nyingine, utashindwa kwenda kuweka namba yako pale. Namba Huwa wanaanzisha kwa code ya nchi husika mfano +254 kwa Kenya au +255 kwa Tz
 
Binafsi natumia Bitcons
Maelezo mazuri lakini maswali mengi ya wadau ni jinsi gani ya kufungua acc 1xbet kwa safaricom?
Je unaweza kuchagua currency ya Tsh au ni lazima iwe Ksh
Inaonekana kuna shida ya kuipata 1xbet kenya ukifungua hapa tz, njia gani rahisi ya ku access 1xbet kenya?

Minimum withdrawal ni sh ngapi?

Assume nina sh 10,000 mkononi nataka niideposit 1xbet, wastani itafika sh ngapi (makato vp)
Maswali ya juu nimeyajibu, hili la chini kabisa. Ukiwa na 10,000 hadi kufika xbet makato hayazidi 500. Kwa uzoefu Huwa napeleka laki nakatwa 700.
 
Currency lazma iwe KSH?
Minimum withdrawal?
Una access vp 1xbet kenya?
 
Currency lazma iwe KSH?
Minimum withdrawal?
Una access vp 1xbet kenya?
Currency sio lazima iwe Ksh, lakini Ksh ni nzuri kwa sababu kuna swala la kurushiana salio xbet to xbet via transfer to friend ambayo inafanikiwa wote mkiwa na same currency. Minimum withdraw ni Ksh 225 sawa na kama elfu 5. Kuaccess 1xbet ni kama unavoaccess account za mwanzo za tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom