Mzigo wa leo huo
 

Attachments

  • Tip 1.PNG
    Tip 1.PNG
    8.2 KB · Views: 25
Mbona inashika tu kama kawaida mzee. Kwa kutumia huduma ya roaming service sema mtu anataka kwenye kioo chake paandikwe safaricom
Ngoja nikupige kaswali kiongozi unijibu kwa sababu sina uelewa huo

Nikiwa na laini ya Safaricom na nipo Kilosa itakamata 3G au nitaitumia kwa minara gani maswali yangu yanaweza kuwa hayana kichwa wala miguu ila waweza kujitahidi kuyaelewa Kilosa hakuna minara ya Safaricom ipo ya Vodacom network yao nitaipataje?
 
Leo Warusi 1xbet na Parimatch wameweka game zote za ligi kuu tz

Nataka nijilipue
Naombeni maoni
 
Ndio maana yake
Palipo na Voda basi Safaricom itakamata
Napalipo na Safaricom basi Voda itakamata

Roaming. ....
Network ya Safaricom inashikaje Bongo labda nipo zangu Gamboshi kule inakamataje au ina interaction na minara ya Vodacom kisa wana undugu?
 
Hakuna group lolote la whatsapp la kubeti lenye kitu kipya yote yale yale watu wanamwaga mamikeka Wanapasuka mnamtukana muhindi shughuli inaishia hapo kesho inaendelea tena! Kujiunga group ukitegemea utakula aisee sahau kabiisa Mentality za watu wa kubeti zinafanana almost everywhere so Be careful bora ubeti wewe mwenyewe bila kumfuata mtu yani hata ukiliwa hakuna wa kumlaumu zaidi yako wewe mwenyew
Halafu walivyokuwa wajinga wanaedit mikeka ni kutuletea humu upimbi wao...
 
Ngoja nikupige kaswali kiongozi unijibu kwa sababu sina uelewa huo

Nikiwa na laini ya Safaricom na nipo Kilosa itakamata 3G au nitaitumia kwa minara gani maswali yangu yanaweza kuwa hayana kichwa wala miguu ila waweza kujitahidi kuyaelewa Kilosa hakuna minara ya Safaricom ipo ya Vodacom network yao nitaipataje?
Popote inaposhika Halotel, Vodacom na Tigo, Safaricom inashika.

Ukihitaji line ya Safaricom unanicheki WhatsApp tu 0719957092. Kwa watu wa Dar-es Salaam na Moshi tu.
 
Leo Warusi 1xbet na Parimatch wameweka game zote za ligi kuu tz

Nataka nijilipue
Naombeni maoni
Mkuu mi nataka nitembee hivi ushaur wako tafadhali
Kagera handcap1+
Allience handcap 1+
KMC handcap 1+
Ndanda handcap 2+
Mbeya city handcap 1+

Nataka niweke figo mkuu haha
 
Safi ndgu yangu,hapana payment system ilivyozingua nikahamia Parimatch ila nipo mbion kupata line ya Safaricom maan kwa bitcoin daaa makato ni makubwa asee
Aisee mi mwenyewe nahangaika kinoma kujua namna kufanya jana nimeuliza humu hizo line zinafanyaje kazi au kwa wale wanaotumia bank wanafanyaje naona watu wamekunja tu roho,Vp hizo line zinafanyaje kazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom