Wakuu kuna huyu jamaa anajiita Rostema naye ni tapeli sana , kuweni makini naye
Anadanganya watu kuwa anauza odds kumbe yuko na app fulani kaiokota huko play store , anachofanya nikwamba mwenye app akipost games naye anatuma kwa group na kuwaambia watu walipie . na sio sure odds , watu wanapasuka vibaya mno ,
Halafu analalamika kuwa mbona tunanunua odds kwa Pdidy inakuaje yeye akitaka kutuuzia tunakataa,

Mpuuzeni kabisa maana ni tapeli kama matapeli wengine ,

Hawa wakenya sijui wanafeli wapi alooo,
Wanaonaga watu wote ni idiot
Nyie ndiyo wajinga.
 
In play
Screenshot_20190527-175800.jpeg
 
Hakuna group lolote la whatsapp la kubeti lenye kitu kipya yote yale yale watu wanamwaga mamikeka Wanapasuka mnamtukana muhindi shughuli inaishia hapo kesho inaendelea tena! Kujiunga group ukitegemea utakula aisee sahau kabiisa Mentality za watu wa kubeti zinafanana almost everywhere so Be careful bora ubeti wewe mwenyewe bila kumfuata mtu yani hata ukiliwa hakuna wa kumlaumu zaidi yako wewe mwenyew
 
Kiukweli walio wengi na magroup ya what's app ni choka mbaya..hawana lolote! Ni kujisifia tu!
 
Write your reply... Duh, leo nimebet na betpawa nimewakubali sana, hawana cha kukata kodi walanini, ukila mzgo ndio huohuo wote hamna cha makato 18%, na style yao ya malipo ya tgopesa kwa masterpass QR nimewaelewa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom