Payment declined. Please link your current phone number to your account in personal profile or text to 29021 LINK#userID#password Stop dial *456*9*5#
Transaction failed, M-PESA cannot complete payment of Ksh4800.00 to 1XBET 2. Organization receiving the payment is unavailable, try again later.
tunafanyeje tatizo hill kusolve
Wazoefu WA safaricom nitatulien hlo tatizo
Ulisha activate namba yako ya safaricom na acount yako ya 1xbet???
Kama bado fanya kuactivate kwanza baada ya hapo utaweza kutop up/ deposit
 
Mil 11 imepeperuka sababu ya hao wajinga
Screenshot_2019-05-26-20-54-51-188_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_2019-05-26-20-55-44-623_com.android.chrome.jpeg
 
Tofauti na Mhakiki hakuna ambaye ana deni kwangu la line.

Huyu jamaa ni mtu mwenye uvumilivu mwingi, nakosea na najua kabsa kuwa hapa nakosea ila nilikosa namna ya kutatua changamoto.

Sina haja ya kueleza yote, ila mzigo wake atapokea tu, naamini hivyo. Siwezi tapeli pesa yake maana mm sio tapeli. Kuanzia sasa mzigo utakuwa njiani kuelekea alipo naamini ataupokea.

Niombe radhi kwake, kwa usumbufu na ucheleweshwaji wa mzigo wake.

Ulikuwa wapi siku zote hizo kumwambia hv yani mpaka mtu alalamike ndo uje uombe radhi? Kwahyo asingelalamika ungekausha? Watanzania tubadilike aisee hivi vitabia vinakwamisha maendeleo ya Taifa letu! Ulikuwa unaficha nn? Siku nyingine kuwa muwazi mtu ajue kabisa umekwama sehemu fulani sio kukaa kimya halafu simu hupokei sio poa wala nini!
 
Sidhan kama Mhakiki haja Tafuta Laini kwa mwingine maana ili takiwa mm nimtumie niko Dar nilikua na ngoja ziingie kwa broo mmoja ivi..kisha nimtumie Mhakiki ila nika poteza Simu Na namba za Mhakiki nika shindwa wasiliana nae tena nilikuja muomba umu ani cheki nadhan hakuona uzi wangu..ila ni vema kusema mapema shida ilo kukumba sote binadam unaweza pata tatzo ata ukatumia pesa yangu ila niambie its ok tutaangalia njia nyingine au kusubir kwa moyo mkunjufu....@Mhakiki naomba uni cheki bloo.
 

Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom