Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo!


Rockcity native

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Messages
2,093
Likes
382
Points
180
Rockcity native

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2012
2,093 382 180
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Watu wengi katika ulimwengu wa GAMBLING wanajikuta wakipoteza kiasi kikubwa cha pesa bila hata ya kujitambua.Ni kutokana na kutokujua au kutambua misingi kadhaa ya kushiriki katika Mchezo huu

LEO NAOMBA NIWAJULISHE WADAU WA MCHEZO JINSI AU NAMNA YA
KUSHIRIKI KIKAMILIFU NA KUFANIKIWA KUSHINDA KWA KIASI KIKUBWA.
KWA KUZINGATIA MAMBO HAYA #8 ,UTAWEZA KUFANIKIWA KUTENGENEZA FAIDA KUBWA KATIKA MCHEZO HUU.


#1 . UFANYE UWE MCHEZO,KISIWE CHANZO CHA MAPATO.


Watu wengi hufanya mchezo wa football betting kama ni kituo cha kujipatia mapato kwa ajili ya kukidhi haya mbalimbali za kimaisha kama vile
1.kulipa kodi ya nyumba,
2.Kupata ada ya watoto,
3.Kupata fedha ya kununua mali fulani i.e Pikipiki, Simu.
4. Kupata fedha ya kulipa Deni. ...na mengineyo!
Hili ni kosa kubwa sana. Unapofanya huu mchezo kama ni chanzo cha pesa kwa ajili ya suala fulani, linakupotezea nafasi ya kuweza kufanya machaguzi ya Odds
yaliyo sahihi.Watu wenye utaratibu huu ,huwa wanachagua Odds ambazo zitawaletea zao kubwa la pesa na kusahau kuwa si michezo yote katika orodha inayoweza kukupa tokeo chanya.
(Kumbuka, Mahesabu ya kina hufanywa na wenye hizi Betting Companies kuhakikisha hakuna mtu anaweza kupata kiasi kikubwa cha pesa kama matokeo ya betting(Mkeka) wake).

#2 . ZITAMBUE LIGI VIZURI.

Watu wengi hujihisisha katika huu mchezo hata bila ya kutambia mienendo (Trend) ya ligi kuu mbalimbali barani Ulaya.Kutokana na Betting Companies kuwa na aina mbali mbali za "kubet", Pia kuna baadhi ya ligi zina "facilatate successful betting" kutokana na aina ya betting.

Kwa mfano:- Ligi ya Uingereza(EPL) , inafaa sana kutumika katika kubeti katika category ya "NORMAL" kwa asilimia 80%.Hii ni kutokana na ligi kuwa na wababe wanaotabirika , Baadhi ya timu kuwa out-of-form kwa muda mrefu, Mjeruhi ya mara kwa mara.
Ligi ya Spain(LA LIGA), inafaa sana kutumika katika "NORMAL" kwa silimia 70% na "HANDCAP" kwa silimia 30%( timu za R.madrid,Barca,A.madrid)

Ligi ya Ufaransa(LIGUE 1).Kutokana na hii ligi kuto kuwa na wababe wa kueleweka , hapa ni mahali salama sana kuitumia "HANDCAP" 80% na.Pia ni ligi iliyo na idadi ndogo sana ya magoli hivyo basi "FOURTYFIVE" prediction inafaa.Hii ni kutokana na matokeo mengi ya ligi hii kuwa na tofauti ya goli moja.
Ligi kuu ya Itali (Serie A), hii ligi haina tofauti sana na ligi kuu ya Ufaransa.Baadhi ya mechi huwa na tofauti ya goli moja, na mara nyingi huwa na matokeo ya suluhu katika dakika 45 za kwanza. Hivyo "HANDCAP" ina asilimia 60% na "FOURTYFIVE" ina asilimia 40%.(Tahadhari: Hii ligi inahitaji uchambuzi wa kina katika mechi zake kabla ya kuweka bet,)

#3 . BOBEA KWENYE LIGI CHACHE TU.

Si mbaya sana ukichagua baadhi ya timu zenye nguvu kutoka ligi nyingine, bali umuhimu wa kubobea katika ligi chache ni veyma zaidi.Hii itakufanya uwe mwenye uelewa na utambuzi wa kutosha na mwenendo wa hizo ligi chache. Pia hii itakuwezesha kuweza kufanya maamuzi sahihi yaliyo na ufahamu na uelewa yakinifu.,

#4 . MARA NYINGI NI VYEMA KUFUATA HISIA.

Umeshawahi kutazama orodha ya michezo/mechi za siku husika kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho, na katika akili yako kuna hisia/vochochezi ambavyo vina kuambia kwamba "huyu anashinda" au "huyu anafungwa" au "hii mechi suluhu"?
Basi kwa taarifa yako, hizo hisia-za-mwazo(PRESCIENCE) husadikika kuwa sahihi kwa asilimia 80%.
Hii ni kwa upande wa wale wanao-Bet katika category ya "NORMAL".

#5 . EPUKA USHABIKI.

Kuna nyakati ambazo inakuhitaji uchague mechi ambayo timu uipendayo inacheza.Hiki kimekuwa kipindi kigumu sana kwa watu wengi.Hupenda kuchagua timu zao kuwa zitashinda hata kama ukweli ni kwamba zinauwezekano mkubwa sana wa kupoteza mchezo.
Au kuwekea timu fulani ishindwe kwa mategemeo timu yake(anayoishabikia) iendelee kuongoza ligi.
Ukiona umejawa na hisia za ushabiki na huwezi shindana nazo, basi ni bora kuacha kabisa kuchagua mechi hizo.

#6 . FANYA UCHAMBUZI YAKINIFU.

Hili ni pamoja na kuzingatia aina ya mchezo unaocheza. Mfano
-NORMAL; katika hii category unashauriwa kuchagua mechi zenye timu dhaifu na imara.Hii inaleta uwezekano wa kutokea kwa matokeo yaliyo-tabiriwa.
-HANDCAP; hapa unashauriwa kuchagua mechi zenye timu ambazo zenye uwezo unaokaribia na kulingana,kwa kuwa timu moja hupewa goli la kufikirika ambayo mara nyingi huwa ni ile dhaifu basi ni vyema kuchagua matokeo ya Suluhu huku ukiamini kuwa ile timu yenye nguvu zaidi huenda ikashinda kwa tofauti isiyozidi goli 1.Yaani 2-1 au 1-0 au hata 3-2.
-FOURTYFIVE(45); hapa sasa ni mahala ambapo mechi za machaguo ya suluhu kuzingatiwa.Kutokana na mechi kuanza kwa suluhu ya bila kufungana,kuna uwezekano wa asilimia 80% ya hizo mechi kumaliza dakika 45 za kwanza bila kufungana ili uweze kuchagua suluhi ya dakika 45, inashauriwa kuchagua mechi ambazo zina upinzani mkubwa sana baina yao au mechi zenye timu zilizodhaifu sana.

#7 . JIWEKEE KIASI KATIKA KU-BET.

Huu mchezo unaathiri sana tabia-ya binadamu (Addictive).Kuna kipindi unasikia hamu ya kubet kila mara hata pale unapoona mkeka(Betting Form) umeharibika, ili tu uweze kurudisha kile kiasi cha pesa ulicholiwa.Hii hutokea kwa sababu ya kutojiwekea "kikomo".
Weka kikomo ,mfano Tsh 5000/= tu itumike ndani ya saa 72.Itakufanya uwe na kikomo katika mchezo na kukusaidia kutopoteza kiasi kikubwa cha pesa kutoka mfukoni mwako.

#8 . FUATILIA UTABIRI WA MITANDAONI.

Ni vyema kufuatilia utabili wa mitandaoni kwa sababu huwa na takwimu sinazoonyesha historia, Perfomance, na matarajio ya mechi husika.
Hakikisha una-zingatia mechi tano(5) zilizopita.
-Head-to-head ya timu hizo.
-Perfomance ya timu katika dakika 45 za kwanza
-Majeruhi walio n'je ya kikosi kikuu.
-Usajili waliofanya
-zingatia idadi ya magoli ambayo timu hizo zinafunga(score) na kufungwa(concede).
-zingatia idadi ya mechi ambazo timu imeshinda na kupoteza.
-zingatia msimamo/stance ya timu katika mechi za nyumbani na ugenini.
Kuna baadhi ya mitandao maarufu ambayo hutumika kutoa tabiri za mechi mbalimbali.
(1)windrawin.com
(2)predictZ.com

(3)soccervista.com na
(4)livescore.com tu kwa matokeo yaliyo "live" na ya mechi zilizopita.

Nakaribisha maswali na Maoni kwenye eneo lolote lisilo eleweka...!

DemiGod,
Top Handcapper in Tanzania
 
Buddy

Buddy

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
5,925
Likes
6,882
Points
280
Buddy

Buddy

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
5,925 6,882 280
Wakuu, naombeni msaada kama kuna mtu ana namba ya simu ya kuwasiliana na Premierbet. Nimewatumia email toka majuzi, walijibu kwamba kuna mtu atanisaidia lkn mpk saiv kimya.
Wameshikilia pesa zangu kisa kuna game ya tennis ilikuwa retired (tena nikiwa nimeshinda kabla haijawa retired) toka tar 12.
 
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,306
Likes
1,010
Points
280
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,306 1,010 280
Wakuu, naombeni msaada kama kuna mtu ana namba ya simu ya kuwasiliana na Premierbet. Nimewatumia email toka majuzi, walijibu kwamba kuna mtu atanisaidia lkn mpk saiv kimya.
Wameshikilia pesa zangu kisa kuna game ya tennis ilikuwa retired (tena nikiwa nimeshinda kabla haijawa retired) toka tar 12.
0626064800
Wachek kwa hiyo kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,306
Likes
1,010
Points
280
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,306 1,010 280
Asante sana Chief.
Naambiwa namba imezuiliwa kwa muda. Kuna namba nyingine mkuu?
Zaidi ya hiyo sina mkuu labda fanya kuchek hapo kwenye website yao sehemu ya contacts wameweka namba kadhaa ujaribu na zingine km zinapatikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moyes

moyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Messages
1,911
Likes
2,219
Points
280
moyes

moyes

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2013
1,911 2,219 280
Ndugu zangu nawapigia magoti hizi mechi ni kiboko kabla sijacheza naomba mnisaidie maoni yenu
kwa zile ambazo muna uhakika nazo tu, hata ukipendekeza moja si mbaya mwenenu niko kizimbani
nataka kujilipua. View attachment 1046065
Uki taka kutoboa izi mechi usi bet ulivo zoea
Maana ushangai toka iyo jackpot ime anza hakuna alie wahi toboa mechi zote?

Fatilia matokeo ya jackpot mbili au tatu nyuma jinsi matokeo yake yalivo kua wangap wali weza kubashiri na kupata japo kidogo na ww ujitoe sasa ufahamu ili uwashangaze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moyes

moyes

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Messages
1,911
Likes
2,219
Points
280
moyes

moyes

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2013
1,911 2,219 280
Mkuu kwenye betting hakuna option laini hata siku moja

Wiki moja nilikomaa na No red card, No penalty
Dadeq hapo ndio nilijua penati na red card ni vitu rahisi mno kutoka......nilichoka kabisaaa halafu odds vidogooo

Anyway...all the best mkuu
Acha tu umu kulikua na Le propesa ana kwambia 10min x uhakika saaaaaaaaaaaana

Sasa kwa mechi za jana nkawa na sema doo wale wanao semaga hii opt ni rahis wana hali ganiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayu

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Messages
1,349
Likes
603
Points
280
Mayu

Mayu

JF-Expert Member
Joined May 11, 2010
1,349 603 280
Acha tu umu kulikua na Le propesa ana kwambia 10min x uhakika saaaaaaaaaaaana

Sasa kwa mechi za jana nkawa na sema doo wale wanao semaga hii opt ni rahis wana hali ganiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kabisa kuna option ukiziona unaona kama odd za bure...bet uone moto wake

Min event
Red card
Penalty
Own goal
Nk
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
41,861
Likes
9,438
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
41,861 9,438 280
pdidy weka tena Leo tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
SINGLE PLAY MPWAA
MAIN VIP TIPS

Croatia
Zapresic - Istra 1961
Tip BTTS @ 1.85

Bulgaria
Botev Plovdiv-Botev Vratsa
Tip 1 @ 1.68

Turkey
Fenerbahce – Sivasspor
Tip 1 @ 1.60

______
BONUS

Netherlands
Twente - Volendam
1 @ 1.50

Wales
Connahs Q. – Newtown
1 @ 1,52

Czech
Dukla Prague – MFK Karvina
1 @ 2.24

____
One more ticket coming
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
41,861
Likes
9,438
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
41,861 9,438 280
buddy
*c3sg9*

Arsenal Tula (Youth) - Yenisey (Youth)
1X2: W Arsenal Tula (Youth)
1.56
Orenburg (Youth) - Dynamo Moscow (Youth)
Total: Total Over (2.5)
1.44

*mr opulence*
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
41,861
Likes
9,438
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
41,861 9,438 280
WAZEE WA 1*BET HELA HIOO

1xBet 🙏8RMG9


Borussia Monchengladbach - Freiburg
First Goal Score By Kicking
1.50

Real Sociedad - Levante UD
First Goal Score By Kicking
1.53

Cagliari Calcio - Fiorentina
First Goal Score By Kicking
1.57

Overall Odds
3.65

STAKE ₦10, 000
WINNING ₦30, 000
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
41,861
Likes
9,438
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
41,861 9,438 280
Europa leagueKrasnodar - ValenciaTips ; gg ✅✅✅✅

Europe league
Dyn. Kyiv - Chelsea
Tips : over 2.5✅✅✅✅

Europa leagueFC Salzburg - Napoli
Tips : gg ✅✅

Europa leagueFC Salzburg - Napoli
Tips : over 2.5✅✅

Europa leagueFC Salzburg - Napoli
Tips : gg✅✅and over 2.5✅✅✅✅2+odds won✅✅

DenmarkNaestved - AalborgTips : gg✅✅✅✅

DenmarkNaestved - AalborgTips : over 2.5✅✅✅

DenmarkNaestved - AalborgTips : gg✅✅✅ and over 2.5✅✅2+odds won✅✅✅

Free Tips👇

Portugal Primeira: Sporting Lisbon - Santa Clara
1 (1.26)

Brazil Paolista: Santos - Novorizontino
1 (1.60)

Total odd: 2.00
 
bafetimbi

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
390
Likes
441
Points
80
bafetimbi

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
390 441 80
Mkuu kwenye betting hakuna option laini hata siku moja

Wiki moja nilikomaa na No red card, No penalty
Dadeq hapo ndio nilijua penati na red card ni vitu rahisi mno kutoka......nilichoka kabisaaa halafu odds vidogooo

Anyway...all the best mkuu
Ila kweli mzee......inabidi walete option ya kutabiri refa atapuliza firimbi mara ngapi maana hizi option nyngne hatari tupu
 
Jay Gatsby

Jay Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2017
Messages
432
Likes
526
Points
180
Jay Gatsby

Jay Gatsby

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2017
432 526 180
Acha tu umu kulikua na Le propesa ana kwambia 10min x uhakika saaaaaaaaaaaana

Sasa kwa mechi za jana nkawa na sema doo wale wanao semaga hii opt ni rahis wana hali ganiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu cha uhakika kwenye betting sema vile vile kuna option ambazo unakuta zinakubali zaidi kwenye mikeka yko mfano mimi hyo option ya 10x sikumbuki mara ya mwisho ilinichania lini mara nyingi sana huwa inakubali ila vile vile sio ya kuapply kwa mechi zote kuna game ambazo mara nyingi zinakuwa tight sana hzo ndo huwa hii option inafaa!
 
Mayu

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Messages
1,349
Likes
603
Points
280
Mayu

Mayu

JF-Expert Member
Joined May 11, 2010
1,349 603 280
Ila kweli mzee......inabidi walete option ya kutabiri refa atapuliza firimbi mara ngapi maana hizi option nyngne hatari tupu
Hatarii

Nilitengeneza mkeka wa game 20 kwa option ya No own goal
Daaah own goal zilitokea 9

Champ league nilitandika mkeka wa No goal in added time.... lost

Nikachagua hakuna goli litaingia likakataliwa lost

Substitute player no score...akatupia....lost

Dk 1 ya kwanza kipa asikuse mpira,.,,lost
Dk1 ya kwanza no throw ball......lost

Hakuna option rahisi
 

Forum statistics

Threads 1,272,369
Members 489,924
Posts 30,449,122