Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo!

Discussion in 'Sports' started by Rockcity native, Nov 9, 2013.

 1. Rockcity native

  Rockcity native JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2013
  Joined: Dec 31, 2012
  Messages: 2,090
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
  GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

  2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

  I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

  II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

  H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

  A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,710
  Likes Received: 969
  Trophy Points: 280
  Kubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
   
 3. bily

  bily JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2013
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 8,053
  Likes Received: 4,048
  Trophy Points: 280
  mphamvu your right much respect.

   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2013
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 19,536
  Likes Received: 1,883
  Trophy Points: 280
  hakuna game za uhakika
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,710
  Likes Received: 969
  Trophy Points: 280
  Mi sio kamaria, lakini nimekaa nao ndo nikapata hako kauzoefu. Na kingine ni kuwa watu wanabet kwa hisia kuliko uhalisia.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,710
  Likes Received: 969
  Trophy Points: 280
  Zipo. Na ndio maana kuna timu zikishinda zinamek headline
   
 7. Rockcity native

  Rockcity native JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2013
  Joined: Dec 31, 2012
  Messages: 2,090
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  Karibuni tuwekeze katika soko la betting... Iwe Meridian, M-Bet, Ladbrokerz, Iplay8casino n.k.

   
 8. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2013
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,776
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  nlpokua mza nilikua na bet huku niliko hakuna zile machines. Na voda wanataka mechi moja per betting ambayo hailipi.mi napenda kutandaza mkeka
   
 9. Rockcity native

  Rockcity native JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2013
  Joined: Dec 31, 2012
  Messages: 2,090
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  mkuu voda wanaanza game 2 na kuendlea kwahiyo unaweza weka mkeka.
   
 10. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2013
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,776
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  customer care wa voda alinambia ni mechi moja kwa kila betting. so unaweza tandaza mkeka hadi game 5. na vipi kuweka handcap na normal in one mkeka?
   
 11. Rockcity native

  Rockcity native JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2013
  Joined: Dec 31, 2012
  Messages: 2,090
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  mkeka unaweka hata game 5 cha msingi ni kwenda na kasi ya kubonyeza batan coz unapewa dk 2 kutengeneza mkeka. Ila huku kwnye voda huwezi changanya handcap na normal.
   
 12. HIMLER

  HIMLER JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2013
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 425
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Mie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga
   
 13. HIMLER

  HIMLER JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2013
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 425
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
 14. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2013
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,776
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  vipi points zao huwa zinakuaje!! Maana man city leo walipewa 1.08.
   
 15. HIMLER

  HIMLER JF-Expert Member

  #15
  Dec 29, 2013
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 425
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Odds zao hua zinabadilika badilika kulingana na game na muda unavyo kwenda ukibet kama siku tatu kabla ya game odds zinakua nzuri na kiwango cha return ukipiga mkeka kwa ligi za kawaida ni USD 163000 kwa game za uefa wanatoa hadi USD 1600000 kwa mkeka ukishinda
   
 16. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #16
  Dec 29, 2013
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,776
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  nilichek hyo link. Kiwango cha chini kubet ni bei gani?
   
 17. Rockcity native

  Rockcity native JF-Expert Member

  #17
  Dec 29, 2013
  Joined: Dec 31, 2012
  Messages: 2,090
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  Tujuze kwa kina shkhe
   
 18. HIMLER

  HIMLER JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2013
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 425
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kiwango chini chakubeti niUSD 0.16 .akiwa unajisajili weka information zako za ukweli ilisiku ukiwa unaenda kuchukua mpunga wasikuulize ukawa umesahau
   
 19. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #19
  Dec 29, 2013
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,776
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  nimefanikiwa kupga mkeka wa game 5 so am waiting nipay via mpesa
   
 20. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2013
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,776
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  so unafungulia acount kwa currency ipi?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...