Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

Tulipata Rais wa hovyo sana. Kaharibu sana hii nchi. Kaharibu hata mifumo ya uendeshaji serikali.....hakuna sheria au kanuni. Ni matamko tu na ubabe wa madaraka. Alishindwa kujenga taasisi imara ya urais. Ikabakia kila kitu kinategemea yeye kaamkaje. Akisema piga risasi, unapigwa tu.

No wonder hata aliyekuwa makamo wake sasa (akiwa Rais) analazimika kunafanya marekebisho makubwa sana kurudisha nchi kwenye mstari na ustaarabu wa utawala bora, wa sheria na haki.

Katika hali ya kawaida, usingetegemea mabadiliko makubwa hivi kama nchi ingalikuwa imeendeshwa kitaasisi na si kwa matakwa ya mtu mmoja very abuseful na mwenye miguvu iliyopitiliza ya kikatiba na kisheria

Katengeneza vikundi vya wahuni na majambazi, eg Sabaya, DAB
 
As an incumbent president, Kikwete had the final say... angeliweza kusema if that is the case nahairisha kikao mpaka huko mbele aone reaction yao.... He has the support of the army, police, and other machinery of the government particularly law enforcing ones. Kikwete alikuwa dhaifu!
Has a final say ? Binadamu ni watu wa ajabu sana ulitaka atumie ubabe hakutumia umemlaumu kaletwa mbabe mmemlaumu tunataka demokrasia pale inapotubeba tunataka veto pale demokrasia inapotuletea tusichotaka all in all tusitegemee kupata viongozi wa maana katika jamii iliyojaa ubinafsi,kila mtu kujiona bora kuliko wote, kujipendekeza nk unakuta wazalendo wa wawili out of 100 unategemea nini
 
Kanda ya ziwa sio wa kupewa nchi, mawaambieni, aiseee jamaa ni washenzi sanaaa
Kwa kuwa Nyerere alikuwa Mzaramo sio? Una mawazo mepesi sana unapinga ubaguzi kwa kuwa mbaguzi? Yaan vikao vya chama vianze kujadili kabila au dini badala ya mtu. Swali la kujiuliza watu wote kwenye kabila lako mnalingana vipato, maarifa, kimo,rangi
 
Ukatili mkubwa mmoja wapo na ambao sijui kama utasitishwa,ni kuwanyima watu haki ya fao la kuacha ajira na kuwacheleweshea wastaafu pesa zao hadi miaka miwili.

Lengo lilikuwa kuwasababishia msongo ikibidi wafe kabla hawajapata mafao yao au wakipata waishi muda mfupi.Huu ni zaidi ya ushetani
 
Has a final say ? Binadamu ni watu wa ajabu sana ulitaka atumie ubabe hakutumia umemlaumu kaletwa mbabe mmemlaumu tunataka demokrasia pale inapotubeba tunataka veto pale demokrasia inapotuletea tusichotaka all in all tusitegemee kupata viongozi wa maana katika jamii iliyojaa ubinafsi,kila mtu kujiona bora kuliko wote, kujipendekeza nk unakuta wazalendo wa wawili out of 100 unategemea nini
Kama kuna mtu unamuona hatari kama magufuli anataka kupita unatumia udikiteita kuokoa jamii, ndicho ninachomaanisha. Hta watoto wako unaona kabisa kuwa huyu atatapanya mali zangu unamuengua kiaina...
 
Ukatili mkubwa mmoja wapo na ambao sijui kama utasitishwa,ni kuwanyima watu haki ya fao la kuacha ajira na kuwacheleweshea wastaafu pesa zao hadi miaka miwili.

Lengo lilikuwa kuwasababishia msongo ikibidi wafe kabla hawajapata mafao yao au wakipata waishi muda mfupi.Huu ni zaidi ya ushetani
Daaah
 
Usiwaamini wazee wale ...utashangaa kesho CC imeptitisha Gambo kuongoza nchi
 
Hao wazee wenye hekima wamelifanyia nini taifa letu? Magufuli aliwafanyaje mpaka mkaishi kama tumbili? Bila kuweka mifano itaonekana una chuki binafsi tu. Sema ni nini magufuli alifanya kimeharibu taifa hili.

Kujenga reli, kujenga bwawa la umeme, elimu bure, vituo vya afya, hospitali mpya, miundombinu nk ndani ya miaka mitano.

Kama makosa kila binadamu anayo, muacheni mzee apumzike..

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom