Wazee wastaafu wa CCM msikubali kwenda kujidhalilisha Majimboni ndiyo maana hampo CC!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wastaafu wa CCM msikubali kwenda kujidhalilisha Majimboni ndiyo maana hampo CC!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Apr 2, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Natoa Rai kwa wazee wastaafu wa CCM msikubali kutumika wakati wa uchaguzi nikwenda kujidhalilisha uchaguzi ukiisha isha mnatupwa pembeni na kusahauliwa mnakumbukwa kama mwanvuli wakati wa mvua!!Msikubali,Kwanza muwaulize mnataka sisi twende tukawambie nini wananchi??Je sera mliyonayo inasemaje?Kwa sasa CCM imewaelemea hao waliojifanya kuingiza nguvu mpya nakuondoa wazee sera hawana CHADEMA Haishikiki mkienda kwenye chaguzi jua mnaenda kujivua nguo!!CHADEMA INA VISION!!CCM wao nikurudia ngonjera za tangu 1961!Miaka yote wasilete maendeleo leo ni miujiza gani wataifanya kuwaletea wananchi maendeleo??
  Msikubali Kuvuliwa nguo nyie niwatu wazima changanyeni na zakwenu mtoke na moja!!!
   
 2. m

  mwanantwe New Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena, wao sio spare tyre inayosubiri tairi nyingine ipate pancha ndipo itumike
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Natatizo hawawezi kukataa maana wakikataa wantelekezwa hata posho zao zitakuw hadithi!
   
Loading...