kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Hiyo ni mind game tu.Timu itaingia uwanjani kama kawaida.
Nitashangaa sana kama Simba wakiamini hizo drama
Nitashangaa sana kama Simba wakiamini hizo drama
sisi Simba tunasema point 3 tutawapa bila kujali matokeo 🤣🤣🤣Mtu anaweza akajiuliza ni kwa nini Yanga tu ndio wanakataa kucheza hiyo mechi, kwa nini Simba wenyewe wako tayari kucheza?
Je, Yanga wakicheza wataathirika nini. Kitendo chao cha kutaka kususia hiyo mechi kinafanya wengi waamini kwamba wanaogopa matokeo ya mechi hiyo inaweza kuwa aibu kubwa kwao.
Mind game ya kipuuzi sana hii. Mind game inafanywa na mashabiki na wahamsishaji.Hiyo ni mind game tu.Timu itaingia uwanjani kama kawaida.
Nitashangaa sana kama Simba wakiamini hizo drama
Yanga ni kikundi flan cha fitina fitina kinachoamini hakunaga kushindwa jambo ,bali ni kushinda tu.Mind game ya kipuuzi sana hii. Mind game inafanywa na mashabiki na wahamsishaji.
We ndo zwazwa kabisa ,tokea lini Yanga ikafuata sheria za mpira kikamilifu? Mbona hao yanga hawakugoma kucheza michezo minne mfululizo wakiwa uwanja wa nyumba ,kwann hawakuwakatalia tff kuwa kanuni haisemi hivyo na hakuna ligi yoyote duniani inayofanya hiki kitu.Too stupidity. Nimesoma comments hapo juu nimegundua most of you guys watupu kabisa. Moja kati ya mchangiaji katoa hoja kuwa unamjua aliyesema mechi iahirishwe ni nani?? Ana mamlaka gani??? Samahani mkuu ila hoja yako imedhihirisha uwezo wako mdogo kabisa wa kufikiri. Tangu lini Gvt ikaingilia masuala ya michezo directly?? Na kwa uzwazwa wenu mnajisahau kuwa soka linaendeshwa kwa kanuni?? Who told you guys kuwa mpira unaendeshwa na matamko?? Kwahiyo from such statement huyo aliyetoa hiyo kauli siku akija uwanjani na kumwamuru referee ampe mchezaji kadi nyekundu with no any faul referee atoe is it??? TUTASIMAMIA KANUNI MPAKA DAKIKA YA MWISHO. Once mkitaka kwenda ndivyo sivyo tutakwenda fifa na ligi itafutwa kama kanuni zinavyosema.
Mkuu ungenyamaza ingekua bora kuliko ulivyopuyanga hapa. Hivi unajua matumizi ya directly na indirectly?? Uliisoma vema comment yangu?? Au unatumia simu ya shemeji yako mkuu!!!? Tff wanajua kila kitu. Waliwaita viongozi wa yanga kuwaomba watumie busara mechi ichezwe!!! Ingekua utaratibu uko kama unavyofikiria kwenye akili yako karia asingeagiza kukutana na viongozi wa yanga . Mwisho na si kwa ulazima. Siku nyingine usilete hearsays hapa jf. Huku kuna tulokuzidi akili.We ndo zwazwa kabisa ,tokea lini Yanga ikafuata sheria za mpira kikamilifu? Mbona hao yanga hawakugoma kucheza michezo minne mfululizo wakiwa uwanja wa nyumba ,kwann hawakuwakatalia tff kuwa kanuni haisemi hivyo na hakuna ligi yoyote duniani inayofanya hiki kitu.
Mkiona jambo fulani lina faida kwenu sheria na kanuni zipo sawa ila mkiona jambo haliwalipi kwa upande wenu hapo ndio kanuni zinaibuka ,,tukisema wana yanga wengi vichwa vyenu vimejaa makamasi tutakuwa tunawaonea?
Unasema mpira na siasa haviingilian ,ivi unajua anayehakikisha usalama uwanjan ni nan?
Wewe ni nan had upinge maamuz ya serikal ambayo ndio inajua kila kitu kinachoendelea kwenye nchi yake ,serikal ina uwezo wa kumsimamisha refa wakat wowote ule kama wataona Kuna mambo hayako sawa hapo uwanjan ,ni vile Kuna majitu mnajiachia hapo taifa ila hamjui mnajiachia sabab ya nan kuhakikisha usalama upo shwari.
Uwanja unatumia wa serikal ,ulinzi wa serikal ,Sasa kama serikal haingilian na mpira kwann mnatumia uwanja wao ambao ni wa timu ya taifa ? Je nao wakiamua kuwakazia msitumie viwanja vyao mtatumia uwanja gani ? Mtu hujiwez ila kelele kibao , Simba sio wajinga kutii mamlaka ya serikal na wanajua kuwa serikali na mpira haviingilian kimaandishi ila kivitendo ni km mapacha ,huwez kujitenga na serikal alaf ukatoboa .
Na kwenye hili nataman sana yanga muendelee na msimamo wenu wa kutoleta timu uwanjan ili mje mpewe funzo la kihistoria alaf tuone mtafanya nn kuishinda serikal yenye dola zote tatu .
Kuna mda mnajitafutia vikwazo vya bure bure ,mkianza kuliwa vichwa mmoja mmoja kelele zisiwepo ,Kuna muda udikteta unahitajika sana kwa majitu majinga kama ya wana yanga
Akili zako nizaki "k" tu! Unaongea nini sasa hapo? K ni k tu hatakama iwendogo ni k tuMkuu ungenyamaza ingekua bora kuliko ulivyopuyanga hapa. Hivi unajua matumizi ya directly na indirectly?? Uliisoma vema comment yangu?? Au unatumia simu ya shemeji yako mkuu!!!? Tff wanajua kila kitu. Waliwaita viongozi wa yanga kuwaomba watumie busara mechi ichezwe!!! Ingekua utaratibu uko kama unavyofikiria kwenye akili yako karia asingeagiza kukutana na viongozi wa yanga . Mwisho na si kwa ulazima. Siku nyingine usilete hearsays hapa jf. Huku kuna tulokuzidi akili.
Embu soma ulichoandikaMkuu ungenyamaza ingekua bora kuliko ulivyopuyanga hapa. Hivi unajua matumizi ya directly na indirectly?? Uliisoma vema comment yangu?? Au unatumia simu ya shemeji yako mkuu!!!? Tff wanajua kila kitu. Waliwaita viongozi wa yanga kuwaomba watumie busara mechi ichezwe!!! Ingekua utaratibu uko kama unavyofikiria kwenye akili yako karia asingeagiza kukutana na viongozi wa yanga . Mwisho na si kwa ulazima. Siku nyingine usilete hearsays hapa jf. Huku kuna tulokuzidi akili.
huyo ni mwehu,mpisheniEmbu soma ulichoandika
Utopolo bhana. Uwanja wenu wa nyumbani mnatumia wa serikali halafu mnabana pua sijui serikali haingilii michezo directly. Serikali ikikataza viwanja vyake visitumike kwenye michezo ya ligi (hawabanwi na yoyote kwamba lazima viwanja vyake vitumike kwenye ligi)) nyinyi utopolo mtachezea wapi hiyo ligi? Na kwa akili yako unafikiri serikali kukataza viwanja vyake visitumike kwenye ligi atakuwa hajaingilia michezo directly? Mnakuwa utopolo kuzidisha mpaka mnashindwa kufikiri kwa mapana.Too stupidity. Nimesoma comments hapo juu nimegundua most of you guys watupu kabisa. Moja kati ya mchangiaji katoa hoja kuwa unamjua aliyesema mechi iahirishwe ni nani?? Ana mamlaka gani??? Samahani mkuu ila hoja yako imedhihirisha uwezo wako mdogo kabisa wa kufikiri. Tangu lini Gvt ikaingilia masuala ya michezo directly?? Na kwa uzwazwa wenu mnajisahau kuwa soka linaendeshwa kwa kanuni?? Who told you guys kuwa mpira unaendeshwa na matamko?? Kwahiyo from such statement huyo aliyetoa hiyo kauli siku akija uwanjani na kumwamuru referee ampe mchezaji kadi nyekundu with no any faul referee atoe is it??? TUTASIMAMIA KANUNI MPAKA DAKIKA YA MWISHO. Once mkitaka kwenda ndivyo sivyo tutakwenda fifa na ligi itafutwa kama kanuni zinavyosema.
Asipokuelewa huyo utopolo nafikiri hata kuelewa tena. Sijui wamesahau miaka michache tu iliyopita Mwenyekiti wao Manji alishughulikiwa vilivyo na hakuna aliyemsaidia, akina Hans Pope, Kaburu na Aveva na hata viongozi wa TFF Malinzi,Katibu mkuu Mwesiga na mhasibu wa TFF walishughulikiwa kwa kesi ya ML na hakuna aliyekimbilia kushitaki FIFA.We ndo zwazwa kabisa ,tokea lini Yanga ikafuata sheria za mpira kikamilifu? Mbona hao yanga hawakugoma kucheza michezo minne mfululizo wakiwa uwanja wa nyumba ,kwann hawakuwakatalia tff kuwa kanuni haisemi hivyo na hakuna ligi yoyote duniani inayofanya hiki kitu.
Mkiona jambo fulani lina faida kwenu sheria na kanuni zipo sawa ila mkiona jambo haliwalipi kwa upande wenu hapo ndio kanuni zinaibuka ,,tukisema wana yanga wengi vichwa vyenu vimejaa makamasi tutakuwa tunawaonea?
Unasema mpira na siasa haviingilian ,ivi unajua anayehakikisha usalama uwanjan ni nan?
Wewe ni nan had upinge maamuz ya serikal ambayo ndio inajua kila kitu kinachoendelea kwenye nchi yake ,serikal ina uwezo wa kumsimamisha refa wakat wowote ule kama wataona Kuna mambo hayako sawa hapo uwanjan ,ni vile Kuna majitu mnajiachia hapo taifa ila hamjui mnajiachia sabab ya nan kuhakikisha usalama upo shwari.
Uwanja unatumia wa serikal ,ulinzi wa serikal ,Sasa kama serikal haingilian na mpira kwann mnatumia uwanja wao ambao ni wa timu ya taifa ? Je nao wakiamua kuwakazia msitumie viwanja vyao mtatumia uwanja gani ? Mtu hujiwez ila kelele kibao , Simba sio wajinga kutii mamlaka ya serikal na wanajua kuwa serikali na mpira haviingilian kimaandishi ila kivitendo ni km mapacha ,huwez kujitenga na serikal alaf ukatoboa .
Na kwenye hili nataman sana yanga muendelee na msimamo wenu wa kutoleta timu uwanjan ili mje mpewe funzo la kihistoria alaf tuone mtafanya nn kuishinda serikal yenye dola zote tatu .
Kuna mda mnajitafutia vikwazo vya bure bure ,mkianza kuliwa vichwa mmoja mmoja kelele zisiwepo ,Kuna muda udikteta unahitajika sana kwa majitu majinga kama ya wana yanga
yaan wewe unizid akil mm!!! Embu angalia uharo unaharisha hapa ,wenye akil hawafanan na wewe.Mkuu ungenyamaza ingekua bora kuliko ulivyopuyanga hapa. Hivi unajua matumizi ya directly na indirectly?? Uliisoma vema comment yangu?? Au unatumia simu ya shemeji yako mkuu!!!? Tff wanajua kila kitu. Waliwaita viongozi wa yanga kuwaomba watumie busara mechi ichezwe!!! Ingekua utaratibu uko kama unavyofikiria kwenye akili yako karia asingeagiza kukutana na viongozi wa yanga . Mwisho na si kwa ulazima. Siku nyingine usilete hearsays hapa jf. Huku kuna tulokuzidi akili.
Too stupidity kwanni amfati kanuni kukataa kucheza kwenye uwanja wa serikali? na serikali airuhusiwi kwenye michezoToo stupidity. Nimesoma comments hapo juu nimegundua most of you guys watupu kabisa. Moja kati ya mchangiaji katoa hoja kuwa unamjua aliyesema mechi iahirishwe ni nani?? Ana mamlaka gani??? Samahani mkuu ila hoja yako imedhihirisha uwezo wako mdogo kabisa wa kufikiri. Tangu lini Gvt ikaingilia masuala ya michezo directly?? Na kwa uzwazwa wenu mnajisahau kuwa soka linaendeshwa kwa kanuni?? Who told you guys kuwa mpira unaendeshwa na matamko?? Kwahiyo from such statement huyo aliyetoa hiyo kauli siku akija uwanjani na kumwamuru referee ampe mchezaji kadi nyekundu with no any faul referee atoe is it??? TUTASIMAMIA KANUNI MPAKA DAKIKA YA MWISHO. Once mkitaka kwenda ndivyo sivyo tutakwenda fifa na ligi itafutwa kama kanuni zinavyosema.
Wale raia au mashabiki wanao angalia mpira pale uwanjani wapo chini ya nani? Na ni nani mwenye majukumu ya kuwalinda kama sio serikali?>>Nikwambie ni matamko tu ndio yanasema mpira au michezo ahusiani na serikali lakini kivitendo serikali ipo pale pale .
>>serikali ndio kila kitu nchini
Akili hauna kabisaToo stupidity. Nimesoma comments hapo juu nimegundua most of you guys watupu kabisa. Moja kati ya mchangiaji katoa hoja kuwa unamjua aliyesema mechi iahirishwe ni nani?? Ana mamlaka gani??? Samahani mkuu ila hoja yako imedhihirisha uwezo wako mdogo kabisa wa kufikiri. Tangu lini Gvt ikaingilia masuala ya michezo directly?? Na kwa uzwazwa wenu mnajisahau kuwa soka linaendeshwa kwa kanuni?? Who told you guys kuwa mpira unaendeshwa na matamko?? Kwahiyo from such statement huyo aliyetoa hiyo kauli siku akija uwanjani na kumwamuru referee ampe mchezaji kadi nyekundu with no any faul referee atoe is it??? TUTASIMAMIA KANUNI MPAKA DAKIKA YA MWISHO. Once mkitaka kwenda ndivyo sivyo tutakwenda fifa na ligi itafutwa kama kanuni zinavyosema.