Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Bara niliambiwa mambo yakikaa vizuri huwa tunapokea watalii around 2M kwa mwaka na mapato yanaweza kufikia hata 8B USDs so tumewazidi visiwani kama mara nne hivi

Sasa tukilinganisha ukubwa pamoja na idadi ya vivutio kati ya bara na visiwani hatukutakiwa kuwazidi mara nne tu ilitakiwa tuwazidi zaidi ya mara hizo hivyo wao wanajitahidi pakubwa

Na hiyo ni kwa mujibu wa baadhi ya tour guides wa TANAPA wanasema watalii wengi huwa wanakuja kutembelea national parks sana wakati kuna vivutio zaidi ya hivyo na havitangazwi
Nimekupata.
 
madereva wao huwa watata, hua naona hata road ziki kwanguana eeeh! watu wana vimbaaa
Ha ha ha watu wengine wapuuzi mkuu inabidi uwake akikukwangua. Mtu anakukwangua kizembe tu. Na unajua scratch na mibonyeo midogo insurance hailipi. Kwahio lazima umwajibishe mtu mzembe.
Bumper langu nyuma Lina scratch za bodaboda na baiskeli ya madafu! Wapuuzi hawa wanakufuata nyuma huku hawana brake za uhakika.
 
Kuna siku boda boda alinibutua nyuma akapasua na taaa.. kushuka na kumuangalia nikasema acha niondoke tu, unaweza jikuta unazua mengine.. watu hawana ustaarabu road , hasa maguta, boda boda na hata bajaji.. ila tuishi nao tu😀😀
 
Hata Mimi nilishuka na kuwaacha tu ila nawaachia na risala kali sana...
Na hivi nakuonaga mstaarabu hujuagi kutukana nimewaza tu hizo risala sijui zitakuwa zinahusu nini. Maana barabarani kwenye suala la kuharibiana magari hakunaga lugha nyingine zinazotumika zaidi ya matusi au vipigo tu sijawahi kusikia watu wanaongeleshana kistaarabu kila mtu anajifanyaga kavurugwa.
 
Hawa hata ukimwambie alipe Hana hela, anatia huruma. Na ukiona umemtight ujue kakosa njia ya kukimbia. Hapo ukimwambia tusubiri traffic aje apime anaweza kulia.
Mara nyingi unagongwa na mtu hata 100,000 hawezi kutoa sasa huyu ndio unampa risala aache ujinga barabarani maanake anaharibu Mali za watu na hela ya kulipa hana. Halafu unakuta ni dogo tu braza nyingi unamsamehe tu
 
Yani barabarani humu daah Basi tu
 
Karibu sana boss wangu
@Saint Anne nimepita asubuhi hapo kutia wese wewe ndio yule sura ya au yule amesuka rasta?
IMG_20220117_062307.jpg
 
Hawa hata ukimwambie alipe Hana hela, anatia huruma. Na ukiona umemtight ujue kakosa njia ya kukimbia. Hapo ukimwambia tusubiri traffic aje apime anaweza kulia.
Mara nyingi unagongwa na mtu hata 100,000 hawezi kutoa sasa huyu ndio unampa risala aache ujinga barabarani maanake anaharibu Mali za watu na hela ya kulipa hana. Halafu unakuta ni dogo tu braza nyingi unamsamehe tu
Kuna mambo mengine unamuangalia mtu hadi huruma inakujia...Wiki iliyopita nimeenda mahali nikapaki....nikawa napata huduma..
Kuna jamaa akawa amepaki Hiace ya kampuni, ile anaondoka akagonga gari langu akabonyeza gari langu kasehemu kadogo..
Nikamfuata nikakuta ni kijana mwenzangu, nikamuuliza, huna mirrors za kuangalia nyuma..? Akajitetea nisamehe brother mirror ya kushoto imekaa vibaya...
Akaniuliza anipe sh ngapi ili tuyamalize..(nahisi alitegemea nitasema elfu10)
Nikamwambia sitaki hela yako, itakuwa nakuonea wewe lete fundi wako akupe gharama then utengeneze gari..akasema poa...akenda mtaa wa pili akaja na fundi,

Fundi akamwambia hapa naweza kunyoosha ila itabidi hicho kipande chote kirudiwe rangi...ni kakipande tu kadogo...fundi akamuambia jamaa nipe elf 70000....khaa
Jamaa alipaniki, akaanza kulia lia haswaa.....bro nisaidie, hapa kampuni ikijua tayari sina kazi...hiyo 70000 ikawa mtihani .
Nikamueleza nikiyomueleza nikaachana naye..ila alimtoa fundi kidogo za usumbufu...
Yule jamaa hakuamiani kama nimemruhuru aondoke, akaniomba namba, baadae akanipigia akanishukuru tena akasema, sijawahi kukutana na mtu muungwana hivyo..
 
Binafsi sijawahi kugonga, kugongwa wala kukwanguliwa na mtu.

Naingojea hiyo siku ya tukio.
 
Back
Top Bottom