mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,572
- 4,257
Daaah.........pole japo limeshapita na uchungu umeshakwishaBaada ya kufIka mwisho wa safari nilienda kununua kitu pahali kutuksna na akili kuchoka nikaacha bahasha mezani ikiwa na 1.86, nilikuja kumbuka baada ya massa 5 hivi.