Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,696
- 225,398
Hajui kama wewe ni kaka yangu wa tumbo moja😂Mdogo wangu huyo hatuwezi fanya neno lolote 😀😀😀😀😀
Hajui kama wewe ni kaka yangu wa tumbo moja😂Mdogo wangu huyo hatuwezi fanya neno lolote 😀😀😀😀😀
HatariKwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.
Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu View attachment 1972621View attachment 1972622View attachment 1972623
Siwezi safiri umbali mrefu hivyo bila kupumzika,,nitazimia njiani.Uchoke kwani unatembea kwa miguu?
Utanistua tuyajenge mkuu!Unanitamisha, jumapili usiku nikitoka kabisani naweza chapa mwendo hadi singida alafu nauza sura singida nachapa mwendo hadi mwanza kula samaki
mnafika mwanza na mtoto tayari
Hii nzuri😊Twende short trip Bagamoyo kesho. Nyerere day break
Haha Maranatha Hospital bhanaMbeya ukiondoa jengo la NHIF hakuna ghorofa lingine lenye lift
Anaidhalilisha mbeya🤣Haha Maranatha Hospital bhana
mnafika mwanza na mtoto tayari
Sisi tukikutana ni kumsifu tu MUNGU kama maserafi huko Mbinguni.
Lakini "Holy" Man akikutana na "Saint" Anne naamini hakitaharibika kitu
Si ndio Hapo sasaAnaidhalilisha mbeya
huyu akija mbeya nampeleka maranatha,,tupande lift siku nzima.
Halafu Mbeya hakuna lift sana kwa sababu hakuna majengo marefu na hii ni kutokana na sehemu yenyewe ilivyo(Milima)
Safi Sana. Mie Holy Man Namuaminia.Sisi tukikutana ni kumsifu tu MUNGU kama maserafi huko Mbinguni.
Uzuri gari lake lina upako na uwepo wa MUNGU ,yaani tutakuwa tunaabudu tu hadi tunafika.
Itabidi ujumuike na sisi tumsifu MUNGU pamoja.Safi Sana. Mie Holy Man Namuaminia.
Amen. Nikipata nafasi nitajumuika nanyi mtumishi.Itabidi ujumuike na sisi tumsifu MUNGU pamoja.
Hiyo Mazda CX5 inanikonga MOYO kweliTop 90 best selling SUV global 2020
Naona Mjapani anatamba kwenye mauzo!
Ila hili Hyundai Palisade limekaa kibabe sana.
View attachment 1973327
View attachment 1973328
View attachment 1973329
View attachment 1973330
View attachment 1973331
View attachment 1973332
View attachment 1973333
View attachment 1973334
View attachment 1973335