Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ee bana ndio, naona unazijua XV na GT utofauti wake kwenye taa za nyuma.

Sijaona bado 450 mjini. Ila kama watu wanasukuma majesta I'm sure wapo wababe wanaosukuma 450XV/GT
Hahaha mimi huwa siyo mpenzi sana wa sedan ila kuna sedan zingine utazielewa tu bila kupenda! Binafsi kwa upande wa mjep naona Fuga, Crown, Impreza wamejitahidi sana!
 
Kwa hisani ya google hii ndio record ya trip zangu Mwaka huu kufikia September.

Ukisikia waze wa road trip ndio sisi
Kuna zingine hapo hazipo maana location ilikuwa inazimwa kwa makusudi maalumu
Screenshot_20211013-055306.jpg
Screenshot_20211013-055246.jpg
Screenshot_20211013-055221.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20211013-055246.jpg
    Screenshot_20211013-055246.jpg
    37.9 KB · Views: 2
Nilipoona 4 different countries ndio nikafikiria ndege. Ila 7k miles ni average yangu kwenye gari mwaka mzima.
Hizo sio za mwezi huu tu. Hizo ni za all time, na ndege ikiwemo. Za barabara tu ni za mwezi mmoja tu chini ya Your September Places na ndio inaonyesha kilometer za mwezi husika na hizo kilometer zimefikiwaje, barabara / baiskeli / ndege.
 
Back
Top Bottom