Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

20210922_074254.jpg
 
Nililala Singida, nikafanya mambo yangu, nikapaa shwaaa arusha.. then huyo dodoma nikapumzika then huyo Dar es salaam

Asubuhi nilikuwa Babati, nikamwaga moto mpaka Arusha nikachukua parcel. Wakati nasepa pale kabla ya Tengeru walinikazia nikaandikiwa fine kwa kutembea 58 kwenye ile double road. Imagine . Two lane expressway. Anyway yote maisha. Asante Traffic Revenue Authority kwa kunipa control number nichangie mapato ya serikali. Ila traffic wanawake wana shida flani...

Nikashika adabu mpaka Moshi nikaingia autoxpress kufanya checkup maana brake nilikuwa sizielewi. Ile rough road kule kijijini ililegeza bolt za caliper moja na exhaust ya kushoto nikaichomelea.

Nikamwaga moto mpaka Tanga. Hakukuwa na tochi hata moja ningejua ningefukia tu. Zaidi ya 700km kwa leo, si mbaya.
 
Kweli wanawake wengi huwa tunakuwaga wanoko sana makazini kuliko wanaume sijui shida nini. Na hili ni kwenye kada nyingi hasa sisi ambao tuna vyeo vya chini.
 
Saa nne usiku ukifika hapo hakuna chakula

Stand ndio tunadhani kuna amsha amsha ndio pamefubaa kama sio kuzubaa

Kuna parking ya truck mkabala na hapo

Singida ni Afadhali ya Manyoni na Misigiri kwa huduma za kibinadam
Saa nne ukisogea ubungo pale panatazamana na rode huwa panawaka au serengeti huwa panachelewa chelewa kufunga.. huwa na mchizi mmoja ikungi huwa ananichomea mbuzi na kuku hatariiii sanaa
 
Si ni hadi nipafahamu

Kwenye hizi parking ukikuta kampuni fulani ya usafirishaji nao wapo hapo, huwezi enenda mbali

Itoshe kusema ni jamaa wabaya hawafai, unaweza kuta 'Dubai' yote imepigwa

Unajilalia na kuilinda ofisi yako kuliko kuzurura kutafuta chakula
 
Mnalindana....kuna Stori eti mchaga na mpemba walisafiri na treni chumba kimoja siku mbili hawajalal kila mmoja anamhofia mwenzie. Mchaga anajua akilala mpemba atampitia, mpemba anaogopa akilala mchaga atamuibia hela zake!
 
Inafanania hiyo stori, jamaa hawafai

Tunduma wamelazimishiwa ku park kwenye yard yao

Imagine 'Dubai' yote ya safari waipige, wana vi pipe vidogo kama mrija wa kunywea juisi

Unasafiri vipi na fogo unamwambiaje akuelewe
 
Back
Top Bottom