Mkuu simu yangu hainaga group hata moja, watu kila wakiniunga nina left 😀😀😀Duuh Holy Man mmeunda group kimya kimya
😀😀😀 lazima gari niipigishe shoti nilale nae porini ili tujue mshindi nani 😀😀It seems like 'yaliyomo yamo'.
Mkuu wangu Holy Man akimpa ride huyu mrembo, afu iwe ni manual drive, I bet gear lever haitopumzika. Hala Hala mkono na paja. 😎
-Kaveli-
Ulijua ameweka link ya utani?Sikujua kama ni serious
Hapana Dada yangu, hizi story tu.Sikuwahi jua kama na wewe ni mwanachama wa mabaharia...
Dada kama dada yaani 😀😀Hapana Dada yangu, hizi story tu.
Wivu huoDada kama dada yaani 😀😀
Kumbe ni shabiki wa uto 😁Wakati wengine wanashikilia usukani,wengine tunashikilia vyuma Kwenye maungio ya mwendokasi
Trip ziendeleeView attachment 1947385View attachment 1947394View attachment 1947395
NdiyoKumbe ni shabiki wa uto
Igunga kukaribia Nzega kama sijakosea
Duh! haya mambo tunaishi nayo sanaNimesikia ni Mbeya