Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,543
- 225,105
Na zilivyo juu SasaTtzo zinanesanesa sana kwa hiyo kwa wewe uliezoea sedan utakosa amani
Kubembea juu nako kipaji.
All in all ni gari za kibabe,za kiume yaani.
Na zilivyo juu SasaTtzo zinanesanesa sana kwa hiyo kwa wewe uliezoea sedan utakosa amani
opt cruise niliiweka ile auto ili ieleweke na wengi,mwaga moto mwamba na iwe safari njema kwakoKwenye truck hakunaga auto
Tamka ant cruise
Hii ni 12 mzee
Jenga kwanza siku moja moja utakuwa unapanda na kuendesha nyumba yako
Hehe kaombe lift hata kwenye zile Iveco za jeshi zile ndio zimekaa kibabe zaidiHizi gari kubwakubwa natamani nipande siku Moja.
Zimekaa kibabe na kilegendary sana .
Makazi popote mama si lazima ujenge mjini, sasa hivi mijini kwa asilimia kubwa kumejaa makazi yanaelekea nje ya miji.Nina wazo la kujenga kijijini kwetu.
Hapa mjini nitaweza kweli?na tumia mia hutu twa kuokoteza.
Asante kwa wazo zuri..
Miaka ile wakati naletwa hapa mjini nilikuta hiyo taratibu za kupanda basi ni kwa kupanga mstari Kama unawahi namba za shule na wakati wa kushuka ilitakiwa ushukie mlango wa mbele kulikuwa hakuna haya mambo ya kupimana nguvu wala kupandia madirishaniMakazi popote mama si lazima ujenge mjini, sasa hivi mijini kwa asilimia kubwa kumejaa makazi yanaelekea nje ya miji.
Ila nunua gari kwanza aisee, public land transport kwa nchi yetu bado ni changamoto na ni usafiri unaodharaulika.
Tusiende mbali hapo dizonga tu kuna miji kupanda taxi (kule daladala zao wanaita taxi) ni kwa foleni na ni level seats, yaani hakuna kupigana vikumbo milangoni wala kuingilia madirishani na abiria hawasimami.
Nimejaribu kuwaza hapa bongo wangeleta hiyo system na kwenye madaladala tungeweza kweli, bongo tunatumia theory ya survival for the fittest kwenye kila kitu yaani mwenye nguvu ndiye anayepata.
Mwendokasi kupanda ni kwa foleni.Makazi popote mama si lazima ujenge mjini, sasa hivi mijini kwa asilimia kubwa kumejaa makazi yanaelekea nje ya miji.
Ila nunua gari kwanza aisee, public land transport kwa nchi yetu bado ni changamoto na ni usafiri unaodharaulika.
Tusiende mbali hapo dizonga tu kuna miji kupanda taxi (kule daladala zao wanaita taxi) ni kwa foleni na ni level seats, yaani hakuna kupigana vikumbo milangoni wala kuingilia madirishani na abiria hawasimami.
Nimejaribu kuwaza hapa bongo wangeleta hiyo system na kwenye madaladala tungeweza kweli, bongo tunatumia theory ya survival for the fittest kwenye kila kitu yaani mwenye nguvu ndiye anayepata.
Wewe unaongelea miaka ileMiaka ile wakati naletwa hapa mjini nilikuta hiyo taratibu za kupanda basi ni kwa kupanga mstari Kama unawahi namba za shule na wakati wa kushuka ilitakiwa ushukie mlango wa mbele kulikuwa hakuna haya mambo ya kupimana nguvu wala kupandia madirishani
Ila ni vyema ajenge nyumba ili siku akikwama aiendeshe
Hehe kaombe lift hata kwenye zile Iveco za jeshi zile ndio zimekaa kibabe zaidi
Mzee baba hii post nimeikuta mpaka kwenye forum ya wanajeria "Naira Forum" Wana discuss.
Pole dada Saint Anne huo Usafiri kupanda lazima utumie msuli, ukisimama unaweza ukakutana na bazazi anakuchobea mgongoni.Natamani nihadithie kashkash za kwenye mwendokasi Leo
Dah,nikijichanga hela,kitu cha kwanza kununua ni gari hata ka passo tu.View attachment 1942461
Siyo mbaya labda wengine wanaona fahari kupigania siti kwenye madaladala, acha wajenge kwanza wasije wakafa wakapata Aibu kuwa walishindwa kuacha hata kakibanda.Miaka ile wakati naletwa hapa mjini nilikuta hiyo taratibu za kupanda basi ni kwa kupanga mstari Kama unawahi namba za shule na wakati wa kushuka ilitakiwa ushukie mlango wa mbele kulikuwa hakuna haya mambo ya kupimana nguvu wala kupandia madirishani
Ila ni vyema ajenge nyumba ili siku akikwama aiendeshe
Hizo foleni si zimeanza juzi tu hapa, zamani watu walikuwa wanapigana vikumbo hadi wanaharibu milango ikawa haifungiki automatically tena yaani dereva akibonyeza hola.Mwendokasi kupanda ni kwa foleni.
Imaginehapa naenda sota Kwenye foleni ya kupanda mwendokasi
Wakati wa kwenda afadhali kuna usimizi na utaratibu mzuri,,wakati wa kurudi kituo nilichopandia Janawalitaka watu wawameze wasimamizi kwa hasira.
Gari ni muhimu mno.
Angalau kwenye mwendokasi ndiyo naonaga kuna utaratibu mzuri, kwenye madaladala watu wanawekeana siti vizuri tu na hakuna mtu anasema chochote ukichelewa kuwa mpole tu.Wewe unaongelea miaka ile
Hata Sasa foleni zipo Kwenye mwendokasi..
Jana kuna mtu akapanda ,akamuwekea mwenzie nafasi Kwa kuweka mzigo Kwenye siti..watu wamefika wakae anang'ang'ania seat eti amemuwekea mtu ambaye foleni yake haijafika
Watu walimshambulia,yaani Jana ilikuwa ni vituko
Hizo foleni si zimeanza juzi tu hapa, zamani watu walikuwa wanapigana vikumbo hadi wanaharibu milango ikawa haifungiki automatically tena yaani dereva akibonyeza hola.
Na kwenya mwendokasi kuangushwa na kukanyagwa kisha watu wakapita juu yako ni jambo la kawaida sana, mabasi yao mengi sasa hivi yameharibika yamepaki tu pale gerezani.
Ndiyo maana kupunguza uharibifu wakaona waanze kuweka foleni, tena napo ni kwa vile vituo vikubwa ambapo gari ndiyo zinaanzia na pia suala la level seats bado ni changamoto.
Sasa ndiyo nikajiuliza hiyo system ingeletwa na kwenye madaladala ingewezekana kweli maana si kila mtu anapanda mwendokasi, wabongo tushazoea kutumia nguvu tu yaani.
umeona eeeh!Siyo mbaya labda wengine wanaona fahari kupigania siti kwenye madaladala, acha wajenge kwanza wasije wakafa wakapata Aibu kuwa walishindwa kuacha hata kakibanda.
Pole dada Saint Anne huo Usafiri kupanda lazima utumie msuli, ukisimama unaweza ukakutana na bazazi anakuchobea mgongoni.
Unayaogopea nini? Yan we ni kaoga ka vitu vingi.Wale wazee wa Audi
Mimi siku nikipanda gari kubwa sijui nitajiona nani vile,japo nayaogopa kiaina..yapo juu mno.
Unayaogopea nini? Yan we ni kaoga ka vitu vingi.
Anzia cruiser za porini, hardtop nk