Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Trip ziendelee.

Hivi na sisi wa mwendokasi tunaruhusiwa kuweka picha?
IMG_20210916_173917_7.jpg
 
Si ndiyo maana nimewaambia haya maneno huwa wanaishia kuandika tu mitandaoni kwa sababu hatujuani lakini tukija huku mitaani kila weekend kuna harusi na wanaoolewa ni hao hao single mothers na makahaba wastaafu hakuna mabikira

Watu wanadhani eti mtu ukishaoa au ukishaolewa basi tayari moja kwa moja una ticket ya kwenda mbinguni bila kujua kuwa hiyo ndoa at some point in life inaweza kukufanya ukatenda dhambi moja matata sana ukawa shosti wa shetani

Kwanza hizo ndoa zenyewe siku hizi nyingi zimejaa uzinzi na uasherati tu mtu kaoa au kaolewa lakini anachepuka kama kawa tena kwa ufahari kabisa mtu anasema mimi sitosheki na mwanamke mmoja eti nature wakati ni kinyume na maandiko
 
Juzi nimepiga kirikuu yangu gunia tisa za mkojo nikaamsha dar arusha, kuna prado kama mia tisa nimezipita kama zimesimama.

Kuna mmoja nikataka mpk kusimama nimpige kofi. Nikampiga pasi makusudi anifukuze, nikampoteza kati ya makanya mpk hedaru

Kama huna benz, prado, VX, BMW n.k like hii comment tuwakomeshe hawa wapiga debe wa used za japani. Kisha Tukutane stendi
 
Extrovert umenirejesha kwenye uzi wa kupangua gia barabarani, hasa manyuo gia 😅😅😅.

Mahaba yameniteka bibi mie....!!!!

Nimezubaishwa na Mahaba ya Rotimi na Vanessa...!
Nimejikuta naduwaa nawatizama tuu bila kuchoka 😊.

Kuna video wamejirekodi Vanesa anaanza ....

Baby, baby, baby please please...

Rotimi yuko nooh...!

Tabasamu zao sasa, real smiles I can read from their faces....😍😍

Halafu Vanessa anaanza kuimba...

Wewe ni Alphaa na Omeeegaaa....

Mara Rotimi anadakia na vocal ....

Weeweee ni Alphaaaa na Omeeegaaaa....!!

Kisha Vanessa anaitikia,

Twakabudu Bwanaaa wastahili sifaaa.....

Yaaani am like oooh my...!!!

Love is so real, Mahaba matamu acha nirudi kule nisiwachoshe na malavidavi yangu.

Nimelewa Mahaba hapa mimacho inabembea nusu mlingoti 😅😅😅.....

Sorry Baba Bayaringaya kukatiza Mahaba katikati ya madereva bila ruhisa 😜😜.
 
Ngara hapa ngara oil natokea Buju

Chuma inawaka usiku kwa usiku to Dar

Mwanafamilia wa road trip kama upo maeneo haya tusafiri wote free hadi tufike

RRONDO

Vilambasi ni viherehere wana overtake mkabala mizani

Kuzama ndichi ni kuingia na kupima mizani

Pole kwa lugha za Mo town
Naona wote mnakula bata

Tutakiane heri ma mchungaji Saint Anne niombee

@Honet nakukubea matoke ila tu saa 3/4 kesho usiku nitakuwa mitaa ya ofisi yako pale round about

Usipotokea next time

Naianza k9
 
Back
Top Bottom