Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 29,299
- 83,718
TrueHapo ndio mnakosea kuelekeza kosa pande mmoja. Swala la usariti haliangalii jinsia, kila jinsi inaweza ingia kwenye shida ya usariti. Ukisema leo wanaume wanachepuka unakosea na ukisema wanawake wanachepuka unakosea pia. Ila Watu wamekua hawana ndiahamu katika mahusiano na ndio matokeo ya hayo yote. Naposema nidhamu ni neno pana sana. Kama nidhamu ipo huwezi kutana na kesi za usariti sio kwa Me au kwa KE