Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Njia ipi hiyo?
Mbeya to Dar... mitaa ya Sao hill huko. Hawa niliwatoa kitembo nikatembea. Nikapigwa tochi ya kizembe tena mitaa ya Ifunda niko 96, afande mmama akafosi kuandika so nadaiwa hapa. Ilula dogo mmoja kapaki kwenye IST akanifyatua na 72. Nikamkazia nikamwambia oya mshaniandikia mshaniharibia mahesabu hapa, mi mwanaume mwenzio nielewe. NIkamuacha na buku2 nikagonga gia.

Mi sielewi mnapendea nini kusafiri mchana. Hizo tochi zote ni ndani ya 200km. Traffic mkoa wa Iringa Mungu anawaona mlivyojaza mitochi.
 
Mchana tunasafiri wenye adabu zetu, wafuata alama za barabarani zote. Ukikurupuka wallet yako itatoboka! Vinginevyo uwe na V8 :p:p:p
 
Hadhi ya ule mkeka haiendani na 50 na tochi zilizomo. Hawatutendei haki. Mkeka wa Iringa to Igawa nitahakikisha napita usiku tu.

Kuna V8 VXR moja STL nililikazia jana. Nililiona kwenye side mirror mitaa ya Wanging'ombe linataka kunipita, nikaona atanidharau huyu, nikakaza tako mpaka likapotea kwenye side mirror. Makambako nikiwa najaza wese likapita na zote nikaachana nalo.

Giza lilipoingia nikaanza kufunguka nikalikuta Chalinze. Akitoa natoa mpaka barabara ilipotulia nikaomba kulia nikaamsha. Ujasiri wa dereva una play part kubwa.

Ila V8 zina pulling aisee. Nimegundua torque yake sio ya mchezo. Tukiwa tunaovertake from low speed ana acceleration ya kutosha. Gari kibao nikiwa nyuma yao wakati wa kuovertake wananiwekea kiwingu, ila jana nyuma ya V8 tulikuwa tunatoka na kurudi chap kwa haraka.
 
We unasukuma nding aina gani
 
Hizo mashine balaa,ukikuta anaendesha mtu jasiri hutaona kapita wapi.
 
Back
Top Bottom