Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

IMG_20210804_132441_8.jpg
 
Hapo morogoro huwa kituo changu cha kwanza, nachapa kahawa nakutulia tulia, dodoma huwa kituo cha pilis pale Kahawa Cafe dodoma, kama naenda mwanza, kituo kinachofatia Regacy hotel singida.. huwa nikitoka hapo nanyooka hadi mwanza, au tabora au geita
Sasa holyman next time kama nikiwa singida nichecki. kwa pale singida mjini kama unafika kwa regency hoel ni jirani yangu na KBH wote ni jamaa zangu na nimajirani unatembea tu dakika tano pale ziwani unafika home
 
Sasa holyman next time kama nikiwa singida nichecki. kwa pale singida mjini kama unafika kwa regency hoel ni jirani yangu na KBH wote ni jamaa zangu na nimajirani unatembea tu dakika tano pale ziwani unafika home
KBH napajua vizuri sana mkuu.. Mwanzo kipindi machine ya kahawa nzima, nilikuwa napenda ipigia pale.. Nilikuwa napenda kwenda kula mbuzi pale rwezaula.. kuna kazi nakuja fanya hapo wiki kama mbili na itachukua mwaka mzima
 
Yap unapumzika counter pale ukitazama watoto wa kinyatu wanavyorukaruka kwa swimming
Wazuri hao na wanapenda hao, kuna katoto kamoja kalikuwa kana itwa ka antonia kama kanyarwanda kalinifanyaga kila asubuhi naamkia pale kupiga mushroom soup kama ka nyarwanda flani hivi kalichanya damu kale mnyaturu na mnywarwanda ni shidaaa :cool: :cool:
 
Unafaidi vitu vingi, kwanza unafaidi dereva akipangua gia na huku unafaidi madhali ya jiji
Napenda sana kumuona dereva anavyoendesha.
Najisikia raha,hapo tukipiga stori mbili tatu basi route inakuwa fupi hata kama kuna foleni.

Naliona jiji vizuuuri jinsi lilivyobadilika kama nipo ulaya huko.
Nafurahi kuona ubungo hapana foleni tena,kuna mwaka nilichelewa bus hivihivi kwa sababu ya mataa na foleni hapa.
Halafu Kuna kima wanasema"Magufuli hakufanya kitu"
IMG_20210804_123233_4.jpg
 
Back
Top Bottom