Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sina uzoefu wa gari za turbo, engine oil ipi nzuri unaweza recomend kwa gari za turbo ? hasa za ulaya, kuna wanao sema ni vizuri kutumia 5w 30 kwasababu ni nyembamba haiwezi ziba kwenye turbo, na wengine wanasema 15 w 40 kwakua mazingira yetu yana joto. kwa uzoefu wako ipi inafaa
5w30 kwa gari zenye low mileage, 5w40 kwa gari aged kidogo.
 
IMG_20210801_075833.jpg
👏👏👏👏
 
sema nije na korosho kilo ngapi?

Japo sijaulizwa mimi ila naomba nijibu tuu.

Vile napenda kula, hasa nuts..

Korosho hainikifu ntatafuna mfuko mzima nashushia na maji ya machungwa.

Ikikupendeza tafadhali njoo na kilo 5 hata ikiwa kwa kuzinunua ila iwe za bei ya uchumi wa kati tafadhali😅😅.

Ikiwa mbichi itafaa zaidi nizikaange na kuzioka mwenyewe 😋😋😋.

I Love Eating, Kasie Mahaba Matata.
 
Back
Top Bottom