Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nitajie chakula unachodhani ni kitamu kuliko orgasm?
Vyakula vyote tu duniani hapa.

Siwezi fananisha mambo ya ajabu na chakula..
Chakula kiacheni kiitwe chakula Jamani.

Kwanza watoto wa kishua nyie hamjui njaa inavyouma.
Kuna sehemu njaa inauwa kabisa watu..
Lakini wapi uliwahi sikia mtu amekufa kwa kukosa sex?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lifestyle hii lazima tu utalala kwenye gari mara moja moja. Kwetu tunaotafuta mkate kwa kuzurura hili halikwepeki.

Gari zinatusitiri sana.
Mm kuna wakati ilikua ni kawaida kwanzia j4 mpaka jumapili nalala kwenye gari. Mpaka nilipo kuja kuona video ya driver mwingine kafa kwa kukosa hewa ndani ya gari, mwingine alishusha vioo kidogo ili hewa ipite waka mpulizia dawa. Wakachomoa vitu vingi. Kaja kustuka saa nne asubuhi gari imebaki fuvu.
 
Dah hii tabia ni risky sana, ila mtu unaangalia na usalama wa sehemu unayoegesha gari kabla hujalala humo ndani
 
Unajua unapo fanya sex nini hutokea mwilini ? na uniambie unapo kula hutokea nini na pia nielezee kuhusu meditation hutokea nini.. Sex ipo juu ya vyote hivyo na ninaweza kukufanunulia from zero to infinity
Ukisex unapunguza stress

Lakini ukila unaishi

Stress zinaweza kupunguzwa kwa njia nyingi mno siyo lazima sex na mtu akaishi ila niambie njaa inaweza kumalizwa kwa mbadala gani mwingine ili mtu aishi kama siyo kula tu
 
Mie sikusema usile chakula kabisa, ila mie kwangu muhimu ni hicho then ndi mambo mengine yanafatia.
 
Back
Top Bottom